Mtumishiwetu
Senior Member
- Jul 13, 2022
- 196
- 346
Nimejaribu kutafakari kauli ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliyotuambia Watanzania wapuuzi tu na kama hatuamini sababu za kukatika umeme na kutokamilika kwa bwawa la Nyerere tukamuue imenipa tafakari nyingi sana
Mosi ina maana Makamba anawaita watanzania ni wapuuzi na kamwe hawezi kutoka kwenye kiti alichokalia labda kifo ndio kimuondoe .
Pili ni kosa la jinai kutangaza mauaji kwanini yeye Makamba ametangaza auawawe
Tatu Shughuli za Umma kwanini asifananishe na maisha yake binafsi
Mwisho Mwenye mkataba na wananchi ni Rais wa JMT, H.E Samia Suluhu Hassan yeye Makamba ni hana mkataba na wananchi kwanini afikie hatua ya kuwadharau watanzania
Cc. WASAFI MEDIA