Kauli ya Januari Makamba kama hawampendi wamuue ina maana gani?

Mkewe asije kuwa humu ndani akawa anasoma hizi texts zako....mtagombana sana....🤣🤣🤣🤣🤣wake huwa wanakuwa very sensitive na wanashtukia mambo haraka sana.
Umemaliza kutukana dada yetu au kuna tusi jingine?!!! Kama lipo lilete tu labda itakupunguzia hasira ulizonazo za kuzidiwa akili na uwezo na huyo makamba. Kwa mtazamo wa kawaida tu (sisi watu wazima tunajua) we hauko salama, umeshafumuliwa zamani sana huko kwenye tigo yako......unajaribu kutumia matusi kujuficha ila hakuna kutu huko, kumefumuliwa. Ptuuuuuuuu!
 
Nimejaribu kutafakari kauli ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliyotuambia Watanzania wapuuzi tu na kama hatuamini sababu za kukatika umeme na kutokamilika kwa bwawa la nyerere tukamuue imenipa tafakari nyingi sana

Mosi ina maana Makamba anawaita watanzania ni wapuuzi na kamwe hawezi kutoka kwenye kiti alichokalia labda kifo ndio kimuondoe .

Pili ni kosa la jinai kutangaza mauaji kwanini yeye Makamba ametangaza auawawe

Tatu Shughuli za Umma kwanini asifananishe na maisha yake binafsi

Mwisho Mwenye mkataba na wananchi ni Rais wa JMT, H.E Samia Suluhu Hassan yeye Makamba ni hana mkataba na wananchi kwanini afikie hatua ya kuwadharau watanzania

Cc. WASAFI MEDIA

Labda yeye ndio atakuwa anajua alimaanisha nini
 
Ina maana kuwa si kwa nguvu zake kuwa hapo bali ni Mungu aliyeamua na kwamba si kwa chuki zenu atatoka bali ni pale Mungu atakapoamua na kama hampendezwi na maamuzi ya Mungu ya kumuweka hapo bali jitwisheni mamlaka ya uungu na mmuue ili atoweke mfurahi.

Ila makamba anawapeleka puta nyie watu si mchezo!!!
Sidhani kama unatambua unachoandika
 
Nimejaribu kutafakari kauli ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliyotuambia Watanzania wapuuzi tu na kama hatuamini sababu za kukatika umeme na kutokamilika kwa bwawa la nyerere tukamuue imenipa tafakari nyingi sana

Mosi ina maana Makamba anawaita watanzania ni wapuuzi na kamwe hawezi kutoka kwenye kiti alichokalia labda kifo ndio kimuondoe .

Pili ni kosa la jinai kutangaza mauaji kwanini yeye Makamba ametangaza auawawe

Tatu Shughuli za Umma kwanini asifananishe na maisha yake binafsi

Mwisho Mwenye mkataba na wananchi ni Rais wa JMT, H.E Samia Suluhu Hassan yeye Makamba ni hana mkataba na wananchi kwanini afikie hatua ya kuwadharau watanzania

Cc. WASAFI MEDIA

Huyu jamaa naona anazidi kujichanganya. Ngoja tuendelee kusubiri kuna jambo kubwa linakuja
 
Nimejaribu kutafakari kauli ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliyotuambia Watanzania wapuuzi tu na kama hatuamini sababu za kukatika umeme na kutokamilika kwa bwawa la Nyerere tukamuue imenipa tafakari nyingi sana

Mosi ina maana Makamba anawaita watanzania ni wapuuzi na kamwe hawezi kutoka kwenye kiti alichokalia labda kifo ndio kimuondoe .

Pili ni kosa la jinai kutangaza mauaji kwanini yeye Makamba ametangaza auawawe

Tatu Shughuli za Umma kwanini asifananishe na maisha yake binafsi

Mwisho Mwenye mkataba na wananchi ni Rais wa JMT, H.E Samia Suluhu Hassan yeye Makamba ni hana mkataba na wananchi kwanini afikie hatua ya kuwadharau watanzania

Cc. WASAFI MEDIA

Mkuu

*Maana yake ni kwamba ninyi wambeya na wapika majungu hamna uwezo wa kunifanya chochote kama hamuamini basi hebu jaribuni muone.........

Ana majivuno sana anafikiri ni mtu maalum, wa maana zaidi na tegemezi kwa yeyote na kwamba bila yeye mbele ni giza.......
 
1663245480557.png
1663245480557.png
 
Ina maana kuwa si kwa nguvu zake kuwa hapo bali ni Mungu aliyeamua na kwamba si kwa chuki zenu atatoka bali ni pale Mungu atakapoamua na kama hampendezwi na maamuzi ya Mungu ya kumuweka hapo bali jitwisheni mamlaka ya uungu na mmuue ili atoweke mfurahi.

Ila makamba anawapeleka puta nyie watu si mchezo!!!
nchi ngumu sana hii
 
Wizara muhimu zinapoongozwa na vijana wasiokuwa na akili haya ndio matokeo.
Huyu jamaa hajawahi na haji kuwa na akili ya uongozi.
Wala akili ya kawaida Hana.
Ni vile tu anabebwa na ushkaji wa kifamilia
 
Acha kumlisha mtu kauli/ kunukuu vibaya kauli. Hii ni tabia ya wafitinishi
 
Back
Top Bottom