Kauli ya Januari Makamba kama hawampendi wamuue ina maana gani?

Kijana wa mitandao yule...huo msemo maarufu sana huko jamhuri ya twitter!
 
soon ⚰linamuhusu
 
Mungu gani kamuweka hapo.Acha kumuhusisha Mungu na vitu vyakijinga.
 
Unamtafuna mbowe ....ina maana ujui ??? Toka jpm kafa uliwai kumsikia mbowe akimzungumzia ben saa8 au unadhani kasahau
Kwa habari yako ....mtuhumiwa no 1 wa kesi ya mauaji ya saa8 ni mbowe ndiyo maana chadema wamenyamaza kimya maana ukweli wanaujua
Acha ujinga wewe.maisha ya mtu sio yakufanyia ujinga kama unaotaka kutuonyesha hapa.Mbowe ndiye amekua jeshi la polisi sasa hivi.mjinga mkubwa wewe.
 
Acha ujinga wewe.maisha ya mtu sio yakufanyia ujinga kama unaotaka kutuonyesha hapa.Mbowe ndiye amekua jeshi la polisi sasa hivi.mjinga mkubwa wewe.
HUO NDIYO UKWELI KUHUSU BEN SAA3 MBOWE NDIYO MTUHUMIWA NO 1 ....SHIKA SANA HAYA MANENO YANGU
 
Mbona hii video ya Kauli ya Waziri Januari Makamba aliyosema upuuzi mtupu njooni mniue sasa imeondolewa Youtube ya WASAFI MEDIA tatizo ni nini?
 
Ndio kundi lililomuua JPM
 
Kwa kauli yako na andikp lako unamaanisha Samia aliemteua Makamba ni sawa na MUNGU sio?

Je!
Nikikuita taahira nitakuwa nimekukosea?

Punguza tope kichwani kwenye fuvu.
 
Kwa kauli yako na andikp lako unamaanisha Samia aliemteua Makamba ni sawa na MUNGU sio?

Je!
Nikikuita taahira nitakuwa nimekukosea?

Punguza tope kichwani kwenye fuvu.
Una matatizo ya kijinsia wewe, si bure!
 
Nia na ham yake kukitaka kiti na wano mdanganya atakikalia kiti vitampotezea njia. Hili Taifa nizaidi yaunavyolijuwa mfumo wake hautofautiani na mfumo wa mbwa mwitu. Ukila unaliwa naukila nyama usipo jifuta vizuri una liwa live ukijiona. Hili Taifa kama mwamba alishindwa maliza kazi basi hatatokea tena mwamba kama yeye kwanza mwamba wote wamekaa pembeni hawaamini tu. End of my story
 
Makamba Januari sio kiongozi ni mpuuzi na mtu wa mizaha tu.
 
Hii kauli kutolewa na Waziri ni kushangaza sana labda kama amenukuliwa vibaya
 
Kwa kauli hii angalau mtu mstaarabu unaanza kwa kusema sorry,kumradhi,ashakm si matusi n.k ili kukulindia heshima.Yeye hayo hata hamna!

Kwanza nahisi kimejaa deko!
Shida ni kauli ambayo imetoka kinywani mwake sio kwamba amezushiwa na watu
 
Mkewe asije kuwa humu ndani akawa anasoma hizi texts zako....mtagombana sana....🤣🤣🤣🤣🤣wake huwa wanakuwa very sensitive na wanashtukia mambo haraka sana.
 
Mkewe asije kuwa humu ndani akawa anasoma hizi texts zako....mtagombana sana....🤣🤣🤣🤣🤣wake huwa wanakuwa very sensitive na wanashtukia mambo haraka sana.
Januari ni Kiongozi wa Umma na anatumikia umma kwa nafasi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…