Kauli ya Januari Makamba kama hawampendi wamuue ina maana gani?

Mkewe asije kuwa humu ndani akawa anasoma hizi texts zako....mtagombana sana....🤣🤣🤣🤣🤣wake huwa wanakuwa very sensitive na wanashtukia mambo haraka sana.
Umemaliza kutukana dada yetu au kuna tusi jingine?!!! Kama lipo lilete tu labda itakupunguzia hasira ulizonazo za kuzidiwa akili na uwezo na huyo makamba. Kwa mtazamo wa kawaida tu (sisi watu wazima tunajua) we hauko salama, umeshafumuliwa zamani sana huko kwenye tigo yako......unajaribu kutumia matusi kujuficha ila hakuna kutu huko, kumefumuliwa. Ptuuuuuuuu!
 
Labda yeye ndio atakuwa anajua alimaanisha nini
 
Sidhani kama unatambua unachoandika
 
Huyu jamaa naona anazidi kujichanganya. Ngoja tuendelee kusubiri kuna jambo kubwa linakuja
 
Huyu jamaa ana matatizo ya akili walahi [emoji3062]
 
Mkuu

*Maana yake ni kwamba ninyi wambeya na wapika majungu hamna uwezo wa kunifanya chochote kama hamuamini basi hebu jaribuni muone.........

Ana majivuno sana anafikiri ni mtu maalum, wa maana zaidi na tegemezi kwa yeyote na kwamba bila yeye mbele ni giza.......
 
nchi ngumu sana hii
 
Wizara muhimu zinapoongozwa na vijana wasiokuwa na akili haya ndio matokeo.
Huyu jamaa hajawahi na haji kuwa na akili ya uongozi.
Wala akili ya kawaida Hana.
Ni vile tu anabebwa na ushkaji wa kifamilia
 
Acha kumlisha mtu kauli/ kunukuu vibaya kauli. Hii ni tabia ya wafitinishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…