Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya katika harakati za kumsifia Dr Tulia Ackson amesema atakuwa peke yake mwaka 2025. Kauli hiyo imejadiliwa sana na gazeti la mwananchi la leo, ambapo wasafi FM wakisoma magazeti asubuhi ili kuzungumzia hilo.
Katika mahojiano hayo ya asbuhi ya leo amesema "Sijamzuia mtu kuchukua fomu ila kitakachowakuta ni shauri yao". Mbali na kutosema ni kitu gani kitamfika lakini imekuwa shida zaidi kusema ni kitu gani hasa anaamanisha kwa maneno hayo.
Mkuu wa Mkoa ambaye ni mwenyekiti wa Ulinzi na usalama wa mkoa, kauli yake inakuwa na implication gani kidemokrasia?