Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Shalom,
Mungu alituumba kipekee sana na kila mtu ana uhuru wake wa kufikiria aidha kupata, kupambana upate na kupambana usikose.
Juma Nkamia kasema ukweli wake ambao hata katika utawala huu wa Bi Hassan tunayaona mengi sana, yeye mwenyewe alisema ana chawa wake.
Wakati wa hatari kuna namna nyingi za kujiokoa na sio kila mmoja anapaswa kujua uzito na ukubwa wa hatari ambayo mtu anapambana nayo au alipambana nayo.
Hivyo ni heri kunipa uzito kauli ya Juma Nkamia. Kitanda usichalala kunguni wake huwajui tulia.
Tunamshukuru Mama Bi Hassan anatajwa Kila pahala kila Kona
Hayo tu
Wadiz