Kauli ya Juma Nkamia Kuhusu Uchawa wake wa kinafiki kwa Magufuli Isibezwe

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Shalom,
Mungu alituumba kipekee sana na kila mtu ana uhuru wake wa kufikiria aidha kupata, kupambana upate na kupambana usikose.

Juma Nkamia kasema ukweli wake ambao hata katika utawala huu wa Bi Hassan tunayaona mengi sana, yeye mwenyewe alisema ana chawa wake.

Wakati wa hatari kuna namna nyingi za kujiokoa na sio kila mmoja anapaswa kujua uzito na ukubwa wa hatari ambayo mtu anapambana nayo au alipambana nayo.

Hivyo ni heri kunipa uzito kauli ya Juma Nkamia. Kitanda usichalala kunguni wake huwajui tulia.

Tunamshukuru Mama Bi Hassan anatajwa Kila pahala kila Kona

Hayo tu

Wadiz
 
Hiyo kauli yake iko wapi sasa?
weka uzi unaoeleweka na kila mtu.
 
Shuka kwenye hyo Bodaboda ndio uandike kwa utulivu mkuu

Inaonekana una haraka mno😀
Mbona hatuoni hyo kauli ya huyo Juma
 
Oya unawahi kwa mwamposa au wapi mkuu😂😂😂
 
Hiyo kauli yake iko wapi sasa?
weka uzi unaoeleweka na kila mtu.
 
Huu ukweli usichukiwe bali uchukuliwe serious na kukemewa. Ndio kinachofanyika mpaka sasa
 
Wakati wa hatari gani? Unajua maana ya uongozi? Kufukuzwa uanachama wa chama cha siasa au kuondolewa kwenye cheo ni hatari? Hujui kuwa siasa ni sehemu ya kujitolea kuwatumikia wananchi na muda wowote unaweza kuondolewa? Wananchi mnapokuwa na msimamo finyu namna hii hufanya viongozi wadhani siasa ni ujasiriamali.
 
Kauli ya Juma Nkamia si ajabu NI vile tu Yeye kasema. Lakini hiyo ni cancer imeenea Serikalini na Watawala wameonyesha kuipenda sana.
 
Siasa za uchawa ni siasa za kipuuzi zikemewe kwa nguvu zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…