Kauli ya Kikwete 'Kuna mwanasiasa maarufu kumzidi Samia?' Ina maana CCM wanazingatia umaarufu sio ubora wa kiongozi

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
3,189
Reaction score
6,140
Nimesikitishwa sana na kauli ya Kikwete alipokuwa akihutubia katika mkutano mkuu wa CCM, alipokuwa akiwajibu wale waliokuwa wanaonesha nia ya kukitaka kiti cha uenyekiti na urais kwa kutaka kuchukua fomu kuomba ridhaa ya kuwa mgombea urais ndani ya CCM.

Katika maelezo yake Kikwete anawahoji watu hao waliotaka kuchukua fomu, Kwamba wanao umaarufu kumzidi Samia? Kwa maana nyingine hakuhoji kuhusu uwezo wao wa kiuongozi wala utendaji wao, Ila alitazama zaidi umaarufu wao.

Je, Tanzania inahitaji viongozi maarufu?
 
Lissu ni Maarufu kuliko Samia na Kikwete, hata wakichanganywa pamoja
Ila Kikwete alikuwa Rais na Samia sasa hivi ni Rais hadi 2030. Lissu yeye ni Rais wa wahuni wanajiita Chadema. Ila anaweza akawa ni mahabusu maarufu kwa sasa!
 
Nimesikitishwa sana na kauli ya Kikwete alipokuwa akihutubia katika mkutano mkuu wa CCM, alipokuwa akiwajibu wale waliokuwa wanaonesha nia ya kukitaka kiti cha uenyekiti na urais kwa kutaka kuchukua fomu kuomba ridhaa ya kuwa mgombea urais ndani ya CCM.

Katika maelezo yake Kikwete anawahoji watu hao waliotaka kuchukua fomu, Kwamba wanao umaarufu kumzidi Samia? Kwa maana nyingine hakuhoji kuhusu uwezo wao wa kiuongozi wala utendaji wao, Ila alitazama zaidi umaarufu wao.

Je, Tanzania inahitaji viongozi maarufu?
Kikwete sasa hivi anapuuzwa na kila mwenye akili hana tofauti na Lucas Mwashambwa
 
Nimesikitishwa sana na kauli ya Kikwete alipokuwa akihutubia katika mkutano mkuu wa CCM, alipokuwa akiwajibu wale waliokuwa wanaonesha nia ya kukitaka kiti cha uenyekiti na urais kwa kutaka kuchukua fomu kuomba ridhaa ya kuwa mgombea urais ndani ya CCM.

Katika maelezo yake Kikwete anawahoji watu hao waliotaka kuchukua fomu, Kwamba wanao umaarufu kumzidi Samia? Kwa maana nyingine hakuhoji kuhusu uwezo wao wa kiuongozi wala utendaji wao, Ila alitazama zaidi umaarufu wao.

Je, Tanzania inahitaji viongozi maarufu?
Achana na huyo Mzee
 
Ndo maana ya Wasanii kuutaka ubunge kupitia umaruufu wao wakati wengi uongozi hawaijui..Tuna safari ndefu ya matumaini inayohitaji akili kubwa kuongoza akili ndogo.God help
 
Nimesikitishwa sana na kauli ya Kikwete alipokuwa akihutubia katika mkutano mkuu wa CCM, alipokuwa akiwajibu wale waliokuwa wanaonesha nia ya kukitaka kiti cha uenyekiti na urais kwa kutaka kuchukua fomu kuomba ridhaa ya kuwa mgombea urais ndani ya CCM.

Katika maelezo yake Kikwete anawahoji watu hao waliotaka kuchukua fomu, Kwamba wanao umaarufu kumzidi Samia? Kwa maana nyingine hakuhoji kuhusu uwezo wao wa kiuongozi wala utendaji wao, Ila alitazama zaidi umaarufu wao.

Je, Tanzania inahitaji viongozi maarufu?
Mzee anazeeka vibaya. Kipindi cha awamu yake angalau aliruhusu demokrasia
 
Hakuna anayemzidi katika umaarufu wa kuwaua watanganyika kwa manufaa ya muarabu, watu wa visiwani na familia zilizowasaliti watanganyika, kama vile familia ya JK.
 
Back
Top Bottom