Pre GE2025 Kauli ya kwanza ya Tundu Lissu na John Heche baada ya Freeman Mbowe kukubali matokeo ya Uchaguzi

Pre GE2025 Kauli ya kwanza ya Tundu Lissu na John Heche baada ya Freeman Mbowe kukubali matokeo ya Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Afadhali Tundu Lissu ametuondolea sanana ya Yanga kutolewa kwenye CAFCL
 
Hongereni sana ndugu zetu Tundu Lissu na John Heche...

Kwa ushindi wenu huu, hamwezi kujua ni kwa kiasi gani mmeamusha ARI na HAMASA mpya kabisa ya kukiunga mkono chama chenu kwa HALI NA MALI ZETU...
Nimekumbuka ulisimama na Lissu na kusema hesabu iko vizuri na majira yataongea , kikubwa mmetoa funzo la demokrasia na sio ushamba na maigizo ya kuiba Kura na kukandamiza wengine hongereni
 
Ongera TL, tumuunge mkono katika uongozi wake wa chama,lkn naomba mwenye kujua namna za matokeo ni ngapi kwa ngapi wajameni?
 
Tundu Lissu - Mwenyekiti mpya CHADEMA 2025 - 2029

John Heche Makamu Makamu Mwenyekiti mpya 2025 - 2029

Hongereni sana ndugu zetu Tundu Lissu na John Heche.

Pia soma Pre GE2025 - Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

Kwa ushindi wenu huu, hamwezi kujua ni kwa kiasi gani mmeamusha ARI na HAMASA mpya kabisa ya kukiunga mkono chama chenu kwa HALI NA MALI ZETU...

Tupo pamoja..
AMA kweli wajumbe siyo watu!
 
Back
Top Bottom