Kauli ya Lema kuwa angekuwa serikalini wangeingia dili la siri na Laizer kuna kitu cha kujiifunza, lakini pia tumpongeze Rais Magufuli kwa uwazi

Umiza kichwa kujua lema amesema mini, usitake kutafuniwa kila kitu, hizi akili mgando mpaka lini?
Alieleta hoja ndio anatakiwa kuwekahapa hichi alichikisema Lema. Vinginevyo anaongea porojo tu.
 
Maoni yangu ni kuwa yale mawe yawekwe kwenye mnada wa hadhara wa kimataifa. highest bidder anunue. Pale haipungui £100,000.

Serikali ikate kodi yake inayobaki Laizer apewe haki yake.
Hiyo bei ulikuwa unataka kusema£100,000,000 au ulikuwa umedhamiria hiyo pound laki 1? Hapo mbona bado amepigwa? Mzee Laizer kwa kweli wamempiga! Ukiangalia bei ya soko hakupaswa kupata kiasi hicho!
 
Hiyo bei ulikuwa unataka kusema£100,000,000 au ulikuwa umedhamiria hiyo pound laki 1? Hapo mbona bado amepigwa? Mzee Laizer kwa kweli wamempiga! Ukiangalia bei ya soko hakupaswa kupata kiasi hicho!
£m100
 
Hayo mawe wewe fuatilia baada ya mwaka kama utaambiwa yapo wapi au yaliuzwa kwa fedha kiasi gani. Dili la mtu hilo. Mnamjua?
 
Mmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…