Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alieleta hoja ndio anatakiwa kuwekahapa hichi alichikisema Lema. Vinginevyo anaongea porojo tu.Umiza kichwa kujua lema amesema mini, usitake kutafuniwa kila kitu, hizi akili mgando mpaka lini?
Hiyo bei ulikuwa unataka kusema£100,000,000 au ulikuwa umedhamiria hiyo pound laki 1? Hapo mbona bado amepigwa? Mzee Laizer kwa kweli wamempiga! Ukiangalia bei ya soko hakupaswa kupata kiasi hicho!Maoni yangu ni kuwa yale mawe yawekwe kwenye mnada wa hadhara wa kimataifa. highest bidder anunue. Pale haipungui £100,000.
Serikali ikate kodi yake inayobaki Laizer apewe haki yake.
£m100Hiyo bei ulikuwa unataka kusema£100,000,000 au ulikuwa umedhamiria hiyo pound laki 1? Hapo mbona bado amepigwa? Mzee Laizer kwa kweli wamempiga! Ukiangalia bei ya soko hakupaswa kupata kiasi hicho!
Ushabadili gia angani🤣🤣🤣£m100
Hayo mawe wewe fuatilia baada ya mwaka kama utaambiwa yapo wapi au yaliuzwa kwa fedha kiasi gani. Dili la mtu hilo. Mnamjua?Nimesikiliza mahojiano kati ya Mwandishi wa habari na Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema kuhusu Serikali kununua mawe mawili ya Madini ya Tanzanite ya Bilionea Aniniu Laizer kwa Tshs. Bil.7.8.
Hakika nimesikitishwa na kauli ya Lema kuwa angekuwa Serikalini wangeingia dili la siri na Laizer. Tafsiri ya kauli hii ni kwamba siyo tu kwamba Watanzania tusingejua Serikali imenunua madini hayo kwa kiasi gani cha pesa bali tusingejua hata uzito wa madini hayo.
Sababu alizotoa Lema za dili la siri na Laizer hazina mashiko kabisa zaidi uonevu, wizi,.na utapeli ambao mwisho wa siku Laizer angekosa haki yake na pesa hiyo kuangukia mikononi mwa wachache badala ya Serikali.
Eti kwa dili la siri na Laizer , kungetangaza.na kuyaongezea thamani madini hayo duniani. Nani kamdanganya Lema kuwa dunia haijui kuwa Madini ya Tanzanite yana thamani? Dunia ipi haijui kuwa Laizer amepata madini yenye uzito wa kilo 15? Lema akafungue hizi linki ajue kuwa Marekani, uingereza, India , Vietnam na kwingineko wanajua.
[28/06, 16:37] Mohamad Abdallah: Tanzanian miner becomes overnight millionaire
[28/06, 16:48] Mohamad Abdallah: Tanzanian mine owner celebrates discovery of $3.3m gemstones
[28/06, 16:53] Mohamad Abdallah: Tanzanian miner becomes overnight millionaire by selling rare gemstones for over $3 million
[28/06, 16:54] Mohamad Abdallah: Know how this Tanzania man became overnight millionaire
Lakini kauli ya Lema inatufungua macho na masikio kuwa kama kauli ya Lema ni msimamo wa upinzani ,basi upinzani haujawa na nia njema kwa Watanzania.
DILI LA SIRI NA LAIZER? Siri ya nini?
Mungu amepanga Mambo haya yatokee kipindi hiki cha Magufuli ili Watanzania wanyonge wanufaike.
MmhLema zinamtia wivu Tu, na hasa hasa anapojitazama mwili wake mzima unanuka mikopo ya mabenki mbalimbali, akijitazama uwezo wa kuchukua ubunge tena temu hii anakuwa na mashaka,
Sasa anadhani akijipendekeza Kwa huyu mchimbaji atageiwa kidogo ili alipelipe madeni yake, Atafute zakwake naye!
Tangu tumepata funzo la namna Nzuri ya kutumia pesa na bajeti zetu katika swami hii, kina lema wao hawakujifunza chochote zaidi ya kuendekeza mikopo, sijui atafanya nini ikiwa hata ubunge hapati safari hii
Aambiwe tu kuwa, Bahati ya mwingine asiilalie mlango wazi.