Kauli ya Lissu kwamba haki ya kupiga kura sio ya kikatiba inahitaji ufafanuzi zaidi wa kisheria

Kuhusu alichokiongea na tafsiri ya kikatiba aliyoitoa yupo sawa ?
 
Nilivyomuelewa

Haki za kikatiba ziko kuanzia ibara ya 12 mpka ya 29.
Mfano haki ya kuishi, uhuru wa kutoa maoni, n.k
Ila hii haki ya kupiga kura iko ibara ya 5.

Hivyo mahakamani si miongoni mwa haki za Kikatiba.

Wanasheria, watusaidie ni kweli?
 
Hiyo Ibara ya 5 si iko ndani ya katiba?
 
Nilivyomuelewa

Haki za kikatiba ziko kuanzia ibara ya 12 mpka ya 29.
Mfano haki ya kuishi, uhuru wa kutoa maoni, n.k
Ila hii haki ya kupiga kura iko ibara ya 5.

Hivyo mahakamani si miongoni mwa haki za Kikatiba.

Wanasheria, watusaidie ni kweli?
Nilivyomuelewa anamaanisha haki zilizo kati ya ibara ya 12 hadi 29 ndizo haki pekee mtu anazoweza kwenda kuzidai mahakamani pale ambapo anaona zimevunjwa au kunyang'anywa.
 
Ha ha kwa hili umeingia Chaka
😊 Kuna njia tatu za KUJIBU maswali 1: swali kwa swali 2. Swali kwa mkato 3. Swali kwa maelezo..

Kaka paschali kaamua KUJIBU swali kwa MAELEZO na maelezo yake yapo OUT OF POINT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…