Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Nimeipata hiyo video.
Hii hapa chini. Sikiliza.
View: https://youtu.be/PHv7J3W0wMA?si=AdgqzGn48f0TTGH-
Hii hapa chini. Sikiliza.
View: https://youtu.be/PHv7J3W0wMA?si=AdgqzGn48f0TTGH-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu alichokiongea na tafsiri ya kikatiba aliyoitoa yupo sawa ?Sheria ni fani bahari, japo ki umri, TAL ni mdogo wangu, lakini kwenye fani, mimi ni very junior kwa TAL, ila kiukweli kwenye mambo ya kutafsiri vifungu vya katiba, TAL atasubiri!. He is not right at all!.
- Sio mara moja au mbili amewaingiza Chadema chaka!. Angalia hapa Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele! hapa alitakiwa kuusimamisha muswada kikanuni, yeye akatoa go ahead na kutoa kauli ya kuupinga. Muswada uka sail!.
- Kwenye udikiteta wa JPM, pia akawaingiza chaka
- Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!
- CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue, Serious Issue ya Katiba ni UKUTA!.
- Hata issue ya hao wabunge 19,CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao mamlaka pekee ya kuchunguza jinai ni polisi, baada ya Chadema kuhisi jinai ya forgery, walipaswa kuripoti polisi, polisi wachunguze barua yao ya uteuzi, ndipo waiarifu NEC kuna forgery, Wabunge wale wameteuliwa na NEC, Spika hana kosa lolote, mpaka leo Chadema bado haijaripoti popote jinai hiyo, bali wamekurupuka kuwatimua, bado ni wabunge halali.
P
Hiyo Ibara ya 5 si iko ndani ya katiba?Nilivyomuelewa
Haki za kikatiba ziko kuanzia ibara ya 12 mpka ya 29.
Mfano haki ya kuishi, uhuru wa kutoa maoni, n.k
Ila hii haki ya kupiga kura iko ibara ya 5.
Hivyo mahakamani si miongoni mwa haki za Kikatiba.
Wanasheria, watusaidie ni kweli?
Ndio maana nikasema wanasheria watusaidie.Hiyo Ibara ya 5 si iko ndani ya katiba?
Hivi hotuba mbona yaja nusunusu....! Roving Journalist hakuwezeshwa kuhudhuria nini?Sijui alikuwa anaongelea nini, lakini katiba iko clear kwenye haki ya kupiga kura. Ingawa pia, kila haki ina masharti fulani
View attachment 3234613
Anamaanisha ni sawa na haki ya kuchaguliwa, usipochaguliwa huwezi kwenda mahakamani kudai hujachaguliwa.Sijui alikuwa anaongelea nini, lakini katiba iko clear kwenye haki ya kupiga kura. Ingawa pia, kila haki ina masharti fulani
View attachment 3234613
Nilivyomuelewa anamaanisha haki zilizo kati ya ibara ya 12 hadi 29 ndizo haki pekee mtu anazoweza kwenda kuzidai mahakamani pale ambapo anaona zimevunjwa au kunyang'anywa.Nilivyomuelewa
Haki za kikatiba ziko kuanzia ibara ya 12 mpka ya 29.
Mfano haki ya kuishi, uhuru wa kutoa maoni, n.k
Ila hii haki ya kupiga kura iko ibara ya 5.
Hivyo mahakamani si miongoni mwa haki za Kikatiba.
Wanasheria, watusaidie ni kweli?
😊 Kuna njia tatu za KUJIBU maswali 1: swali kwa swali 2. Swali kwa mkato 3. Swali kwa maelezo..Ha ha kwa hili umeingia Chaka