Na kwani analazimishwa kwenda kanisani Mara 25? Kuna mtu anamshikia fimbo? Huyu mtoto anatafuta laana sio bure karma is a bitchKweli kabisa halafu kanajibebisha sana.
Kanikera sana kuyadis makanisa ya kilokole ati kwa mwezi alikua anaenda zaidi ya siku 25. Anakurupuka tu,roma kuna misa asubuhi na jioni kila siku bila kusahau jumuia jmos asubuhi kusali sio jumapili pekee.
BInti hana washauri wazuri.
Kiki kwa manufaa ya nani?Unaitwa mkuu? Sepa zako hakuna anayekutaka humu au unatafuta kiki?
Ni kweli King, nashangaa MTU kama huyu kupewa ban kidogo kwa vapour anazotoa humu, ona anavyoshangaza; unaanzisha Uzi halafu mchangiaji wa kwanza wewe, wa pili wewe, wa tatu wewe, wa.....!!!Style yako nzuri kweli..Yani unajitekenya kisha unacheka mwenyewe..
hana hata cha kujielewa chochote aseme tu ule umri wake feki ulikua bado miaka 18Sema Lulu unajielewa, tatizo wenzio akili hamna, bora ulivyojikalia kimya, Dada zako njaa zinawasumbua
binamu wema amekukosea nini kwani?!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi zile Kiss by wema sepetu ziliishia wapi? Na lile duka la mwenge? Na sandals? Aaaah aaah nacheka kama mazuri dah,kweli wema fungu la kukosa
Na kwani analazimishwa kwenda kanisani Mara 25? Kuna mtu anamshikia fimbo? Huyu mtoto anatafuta laana sio bure karma is a bitch
pitia kwa mangi unywe bashite zero ntalipaKesi ya lulu ni mbaya kuliko ya wema. Pia wema familia yake ina hela haimtegemei kiuchumi, lulu kwao ndie boss,akidondoka ndio wamedondoka wote
Hahahahah watu wenye yanayoanzia W mnajuana nyie[emoji14] [emoji3]Hivi zile Kiss by wema sepetu ziliishia wapi? Na lile duka la mwenge? Na sandals? Aaaah aaah nacheka kama mazuri dah,kweli wema fungu la kukosa
huwezia kumlinganisha lulu na wema hata kidogoSasa akina nyumbu wana pesa gani jamani? Wangekua wanahangaika na ccm ? Aaah wema kwao ilikua enzi zileee miaka ya tisin huko,sasa hivi wameambulia nyumba tu ya urithi hawana jipya,mpaka mama wema anadandia jina la mwanae mchezo,ukitaka kuwajua wasanii ambao wazazi wao wana pesa utawajua tu yani hawana shobo na magazet ya udaku kama mama wema,ukisema uwoya wa kishua kidogo nitakuelewa ila sio nyumbu sepetu
Na anataka kulala nae kabisa Yule nyumbu namjua, kinembe kinamuwasha, mke wa lema amkataze mama ubaya atamuaribia ndoa, na hivi lema katoka jela, akipata papuchi anaisugua kisawa saw a, so wema hana lolote anaenda tu kuvizia dyu dyu ya lema tumemshtukia
Ben Saa Nane mwenyewe alikua anakuja kucoment kwenye ubuyu na kulike iwe wewe kigagula cha bi chaurembo ndio udiss uwanja huu?Nilijua tu kuwa ukirudi utaendelea na maisha ya "watu". Hii ndo bongo. Watu wako busy na maisha ya wenzao kuliko maisha yao
hakuna hicho kitu bwanaNa anataka kulala nae kabisa Yule nyumbu namjua, kinembe kinamuwasha, mke wa lema amkataze mama ubaya atamuaribia ndoa, na hivi lema katoka jela, akipata papuchi anaisugua kisawa saw a, so wema hana lolote anaenda tu kuvizia dyu dyu ya lema tumemshtukia
Only polished brains do.Ben Saa Nane mwenyewe alikua anakuja kucoment kwenye ubuyu na kulike iwe wewe kigagula cha bi chaurembo ndio udiss uwanja huu?
Manufaa anayopata si lazima aje akueleze. Manufaa ya mtu ni yake mwenyeweKufanya anachotaka bila manufaa? Mxieew
Lulu wala asijishaue eti hapend siasa wala nn kesi imembana ndio maana mashauz yake kwenye siasa hayaonekani.
Katoto kanapenda sifa kale.isingekua kesi na yeye angeshachotwa na msando(kama wema)zamaani