Kauli ya Lulu kujiunga na siasa

Kauli ya Lulu kujiunga na siasa

Kweli kabisa halafu kanajibebisha sana.
Kanikera sana kuyadis makanisa ya kilokole ati kwa mwezi alikua anaenda zaidi ya siku 25. Anakurupuka tu,roma kuna misa asubuhi na jioni kila siku bila kusahau jumuia jmos asubuhi kusali sio jumapili pekee.

BInti hana washauri wazuri.
Na kwani analazimishwa kwenda kanisani Mara 25? Kuna mtu anamshikia fimbo? Huyu mtoto anatafuta laana sio bure karma is a bitch
 
Style yako nzuri kweli..Yani unajitekenya kisha unacheka mwenyewe..
Ni kweli King, nashangaa MTU kama huyu kupewa ban kidogo kwa vapour anazotoa humu, ona anavyoshangaza; unaanzisha Uzi halafu mchangiaji wa kwanza wewe, wa pili wewe, wa tatu wewe, wa.....!!!
 
Sema Lulu unajielewa, tatizo wenzio akili hamna, bora ulivyojikalia kimya, Dada zako njaa zinawasumbua
hana hata cha kujielewa chochote aseme tu ule umri wake feki ulikua bado miaka 18
 
Hapo sasa bora angekaa kimya tu. Hata mashabiki wake wamemshangaa kwa kauli hio.

Wema nae kavaa msalaba,fans wake kumkosoa kidogo keshamwaga gazeti hadi wengine tumejua kumbe baba yake alikua mkristo ila wao dini wamefata kwa mama yao,mange anatukanaga wenzie watoto wa nje vipi kwake na kwa wema,mjini bana.
Na kwani analazimishwa kwenda kanisani Mara 25? Kuna mtu anamshikia fimbo? Huyu mtoto anatafuta laana sio bure karma is a bitch
 
Hivi zile Kiss by wema sepetu ziliishia wapi? Na lile duka la mwenge? Na sandals? Aaaah aaah nacheka kama mazuri dah,kweli wema fungu la kukosa
Hahahahah watu wenye yanayoanzia W mnajuana nyie[emoji14] [emoji3]
 
Sasa akina nyumbu wana pesa gani jamani? Wangekua wanahangaika na ccm ? Aaah wema kwao ilikua enzi zileee miaka ya tisin huko,sasa hivi wameambulia nyumba tu ya urithi hawana jipya,mpaka mama wema anadandia jina la mwanae mchezo,ukitaka kuwajua wasanii ambao wazazi wao wana pesa utawajua tu yani hawana shobo na magazet ya udaku kama mama wema,ukisema uwoya wa kishua kidogo nitakuelewa ila sio nyumbu sepetu
huwezia kumlinganisha lulu na wema hata kidogo

wema ni usingizi lulu kifooo!!!
 
Hahahaa aiseee
Na anataka kulala nae kabisa Yule nyumbu namjua, kinembe kinamuwasha, mke wa lema amkataze mama ubaya atamuaribia ndoa, na hivi lema katoka jela, akipata papuchi anaisugua kisawa saw a, so wema hana lolote anaenda tu kuvizia dyu dyu ya lema tumemshtukia
 
Na anataka kulala nae kabisa Yule nyumbu namjua, kinembe kinamuwasha, mke wa lema amkataze mama ubaya atamuaribia ndoa, na hivi lema katoka jela, akipata papuchi anaisugua kisawa saw a, so wema hana lolote anaenda tu kuvizia dyu dyu ya lema tumemshtukia
hakuna hicho kitu bwana
hata kama Malaya sio kihvyo loo
 
Asante,tamu kweli
16908008_1923540437892194_7015808174410170368_n.jpg

pitia kwa mangi unywe bashite zero ntalipa
 
Lulu wala asijishaue eti hapend siasa wala nn kesi imembana ndio maana mashauz yake kwenye siasa hayaonekani.

Katoto kanapenda sifa kale.isingekua kesi na yeye angeshachotwa na msando(kama wema)zamaani

mhh iv kumbe kesi bado ipo
 
Kimya kingi kinashindo mkuu,,, yani ni afadhali abakie hivyo hivyo mamluki asijulikane au afanye siasa za chini chini maana ataleta total break up , si unajuanga vile alishawai kushikanga headline kuliko bongo movie yeyotee, bora apumzike tuu
 
Back
Top Bottom