warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #41
Na kwani analazimishwa kwenda kanisani Mara 25? Kuna mtu anamshikia fimbo? Huyu mtoto anatafuta laana sio bure karma is a bitchKweli kabisa halafu kanajibebisha sana.
Kanikera sana kuyadis makanisa ya kilokole ati kwa mwezi alikua anaenda zaidi ya siku 25. Anakurupuka tu,roma kuna misa asubuhi na jioni kila siku bila kusahau jumuia jmos asubuhi kusali sio jumapili pekee.
BInti hana washauri wazuri.