Kauli ya Lulu kujiunga na siasa

Kauli ya Lulu kujiunga na siasa

Nilijua tu kuwa ukirudi utaendelea na maisha ya "watu". Hii ndo bongo. Watu wako busy na maisha ya wenzao kuliko maisha yao
Na wewe uko busy na maisha ya nini? Babu yangu maisha ni kuchagua, unaweza kuchagua umbea au siasa, usione aibu eti kwa kuwa mzee watu watakucheka ukiwa mbea, we kuwa free tu hautachekwa, najua unapenda umbea sana sema ndo ivo
 
Kesi ya lulu ni mbaya kuliko ya wema. Pia wema familia yake ina hela haimtegemei kiuchumi, lulu kwao ndie boss,akidondoka ndio wamedondoka wote
Jaman kwani ukiwa na kesi ndo hutakiwi kushabikia chama? Mbona wema Ana kesi ya bange na kesi ipo mahakamani na bado anashobokea chadema
 
Lulu wala asijishaue eti hapend siasa wala nn kesi imembana ndio maana mashauz yake kwenye siasa hayaonekani.

Katoto kanapenda sifa kale.isingekua kesi na yeye angeshachotwa na msando(kama wema)zamaani
Akwende zake,alikuwa na kesi,pili alikuwa akijihusisha kwa njia nyingine(kumburudisha Marehem mbunge).
Huwa kanajiona spesho haka ka andunje...kanayakandia makanisa ya kilokole wakati wa matatizo kalikuwa kanakesha huko makanisani na kufunga na ikamsaidia.
Saa hizi anayaona yanapiga deal.Si bora anyamaze!!!
 
Kesi ya lulu ni mbaya kuliko ya wema. Pia wema familia yake ina hela haimtegemei kiuchumi, lulu kwao ndie boss,akidondoka ndio wamedondoka wote
Sasa akina nyumbu wana pesa gani jamani? Wangekua wanahangaika na ccm ? Aaah wema kwao ilikua enzi zileee miaka ya tisin huko,sasa hivi wameambulia nyumba tu ya urithi hawana jipya,mpaka mama wema anadandia jina la mwanae mchezo,ukitaka kuwajua wasanii ambao wazazi wao wana pesa utawajua tu yani hawana shobo na magazet ya udaku kama mama wema,ukisema uwoya wa kishua kidogo nitakuelewa ila sio nyumbu sepetu
 
Binam kiss ziliisha ziara ya mond ilipoishia ulaya. Maana mond alikua akitua ufaransa unasikia mzigo upo ufaransa na aliebebeshwa alikua romy jones.
Ha ha...
'oh my ghosh,UK mzigo umeisha...wallahy nawapenda wateja wangu!Kiss by [HASHTAG]#Wema[/HASHTAG] in UK#nyota!'.
 
Jaman kwani ukiwa na kesi ndo hutakiwi kushabikia chama? Mbona wema Ana kesi ya bange na kesi ipo mahakamani na bado anashobokea chadema
Sio kwamba yupo smart kiivyo...
waliojihusisha na siasa ilikuwa ni haki yao.Sio lazima aongeee.
 
Kweli kabisa halafu kanajibebisha sana.
Kanikera sana kuyadis makanisa ya kilokole ati kwa mwezi alikua anaenda zaidi ya siku 25. Anakurupuka tu,roma kuna misa asubuhi na jioni kila siku bila kusahau jumuia jmos asubuhi kusali sio jumapili pekee.

BInti hana washauri wazuri.
Akwende zake,alikuwa na kesi,pili alikuwa akijihusisha kwa njia nyingine(kumburudisha Marehem mbunge).
Huwa kanajiona spesho haka ka andunje...kanayakandia makanisa ya kilokole wakati wa matatizo kalikuwa kanakesha huko makanisani na kufunga na ikamsaidia.
Saa hizi anayaona yanapiga deal.Si bora anyamaze!!!
 
Ha ha...
'oh my ghosh,UK mzigo umeisha...wallahy nawapenda wateja wangu!Kiss by [HASHTAG]#Wema[/HASHTAG] in UK#nyota!'.
Aaah UK ya wapi binamu? Kigoma au? Sasa kwa hiyo biashara ikiiisha ndo inafungwa? Hyo biashara ya mwendo kasi hakyamungu, akina bakhresa wangekua wanafanya hivyo sasa hivi wangekua sitimbi wanalima miogo yani biashara ikiisha inafungwa? Acheni utahira, biashara ikiisha that means ina demand kubwa so supply inaongezeka na sio kusema tena hawauzi peleken uongo wenu IG kwa mange
 
Nilijua tu kuwa ukirudi utaendelea na maisha ya "watu". Hii ndo bongo. Watu wako busy na maisha ya wenzao kuliko maisha yao
Mkuu hii ni celebrities forum

Pia hata kule siasani napo mnaongelea ya watu ,mnamuongelea bashite kila kukicha,mbowe ,magufuli nk

Kwa hiyo kuwa mpole tu ukiona unakwazika usiwe unakuja huku tuachie jukwaa letu pendwa wewe rudi huko siasani
 
Thanks binamu
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ila huku mmezidi
 
Kalulu nako kanafki sana. Hapendi kuonekana kako wapi ili kasiwaudhi mabwana zake ila sio mashabiki. Nini kitabadilika tukijua Lulu yuko ACT?
 
Wema hana hela ila akizipata anazitapanya mwenyewe ila lulu lazima agawe ada ya mdogo wake,chakula home na mengineyo.

Wema kinachomsumbua ni sifa za kijinga,saiv anapanga kwenda kwa lema arusha. Amwache lema apumzike na familia yake,sms tu akimtumia inatosha sasa bidada anatafuta habar ya kuweka kwenye application na kiki juu
Sasa akina nyumbu wana pesa gani jamani? Wangekua wanahangaika na ccm ? Aaah wema kwao ilikua enzi zileee miaka ya tisin huko,sasa hivi wameambulia nyumba tu ya urithi hawana jipya,mpaka mama wema anadandia jina la mwanae mchezo,ukitaka kuwajua wasanii ambao wazazi wao wana pesa utawajua tu yani hawana shobo na magazet ya udaku kama mama wema,ukisema uwoya wa kishua kidogo nitakuelewa ila sio nyumbu sepetu
 
Nasubiria mwisho wa application maana saiv kabaki mwenyewe anaitangaza, team yake kimyaa wanamla kisogo tu,busy kumtukana zari wanasahau biashara ya boss
Aaah UK ya wapi binamu? Kigoma au? Sasa kwa hiyo biashara ikiiisha ndo inafungwa? Hyo biashara ya mwendo kasi hakyamungu, akina bakhresa wangekua wanafanya hivyo sasa hivi wangekua sitimbi wanalima miogo yani biashara ikiisha inafungwa? Acheni utahira, biashara ikiisha that means ina demand kubwa so supply inaongezeka na sio kusema tena hawauzi peleken uongo wenu IG kwa mange
 
Wema hana hela ila akizipata anazitapanya mwenyewe ila lulu lazima agawe ada ya mdogo wake,chakula home na mengineyo.

Wema kinachomsumbua ni sifa za kijinga,saiv anapanga kwenda kwa lema arusha. Amwache lema apumzike na familia yake,sms tu akimtumia inatosha sasa bidada anatafuta habar ya kuweka kwenye application na kiki juu
Na anataka kulala nae kabisa Yule nyumbu namjua, kinembe kinamuwasha, mke wa lema amkataze mama ubaya atamuaribia ndoa, na hivi lema katoka jela, akipata papuchi anaisugua kisawa saw a, so wema hana lolote anaenda tu kuvizia dyu dyu ya lema tumemshtukia
 
Back
Top Bottom