Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe uko busy na maisha ya nini? Babu yangu maisha ni kuchagua, unaweza kuchagua umbea au siasa, usione aibu eti kwa kuwa mzee watu watakucheka ukiwa mbea, we kuwa free tu hautachekwa, najua unapenda umbea sana sema ndo ivoNilijua tu kuwa ukirudi utaendelea na maisha ya "watu". Hii ndo bongo. Watu wako busy na maisha ya wenzao kuliko maisha yao
Jaman kwani ukiwa na kesi ndo hutakiwi kushabikia chama? Mbona wema Ana kesi ya bange na kesi ipo mahakamani na bado anashobokea chadema
Akwende zake,alikuwa na kesi,pili alikuwa akijihusisha kwa njia nyingine(kumburudisha Marehem mbunge).Lulu wala asijishaue eti hapend siasa wala nn kesi imembana ndio maana mashauz yake kwenye siasa hayaonekani.
Katoto kanapenda sifa kale.isingekua kesi na yeye angeshachotwa na msando(kama wema)zamaani
Sasa akina nyumbu wana pesa gani jamani? Wangekua wanahangaika na ccm ? Aaah wema kwao ilikua enzi zileee miaka ya tisin huko,sasa hivi wameambulia nyumba tu ya urithi hawana jipya,mpaka mama wema anadandia jina la mwanae mchezo,ukitaka kuwajua wasanii ambao wazazi wao wana pesa utawajua tu yani hawana shobo na magazet ya udaku kama mama wema,ukisema uwoya wa kishua kidogo nitakuelewa ila sio nyumbu sepetuKesi ya lulu ni mbaya kuliko ya wema. Pia wema familia yake ina hela haimtegemei kiuchumi, lulu kwao ndie boss,akidondoka ndio wamedondoka wote
Ha ha...Binam kiss ziliisha ziara ya mond ilipoishia ulaya. Maana mond alikua akitua ufaransa unasikia mzigo upo ufaransa na aliebebeshwa alikua romy jones.
Sio kwamba yupo smart kiivyo...Jaman kwani ukiwa na kesi ndo hutakiwi kushabikia chama? Mbona wema Ana kesi ya bange na kesi ipo mahakamani na bado anashobokea chadema
Akwende zake,alikuwa na kesi,pili alikuwa akijihusisha kwa njia nyingine(kumburudisha Marehem mbunge).
Huwa kanajiona spesho haka ka andunje...kanayakandia makanisa ya kilokole wakati wa matatizo kalikuwa kanakesha huko makanisani na kufunga na ikamsaidia.
Saa hizi anayaona yanapiga deal.Si bora anyamaze!!!
Aaah UK ya wapi binamu? Kigoma au? Sasa kwa hiyo biashara ikiiisha ndo inafungwa? Hyo biashara ya mwendo kasi hakyamungu, akina bakhresa wangekua wanafanya hivyo sasa hivi wangekua sitimbi wanalima miogo yani biashara ikiisha inafungwa? Acheni utahira, biashara ikiisha that means ina demand kubwa so supply inaongezeka na sio kusema tena hawauzi peleken uongo wenu IG kwa mangeHa ha...
'oh my ghosh,UK mzigo umeisha...wallahy nawapenda wateja wangu!Kiss by [HASHTAG]#Wema[/HASHTAG] in UK#nyota!'.
Mkuu hii ni celebrities forumNilijua tu kuwa ukirudi utaendelea na maisha ya "watu". Hii ndo bongo. Watu wako busy na maisha ya wenzao kuliko maisha yao
Thanks binamuMkuu hii ni celebrities forum
Pia hata kule siasani napo mnaongelea ya watu ,mnamuongelea bashite kila kukicha,mbowe ,magufuli nk
Kwa hiyo kuwa mpole tu ukiona unakwazika usiwe unakuja huku tuachie jukwaa letu pendwa wewe rudi huko siasani
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu hii ni celebrities forum
Pia hata kule siasani napo mnaongelea ya watu ,mnamuongelea bashite kila kukicha,mbowe ,magufuli nk
Kwa hiyo kuwa mpole tu ukiona unakwazika usiwe unakuja huku tuachie jukwaa letu pendwa wewe rudi huko siasani
Sasa akina nyumbu wana pesa gani jamani? Wangekua wanahangaika na ccm ? Aaah wema kwao ilikua enzi zileee miaka ya tisin huko,sasa hivi wameambulia nyumba tu ya urithi hawana jipya,mpaka mama wema anadandia jina la mwanae mchezo,ukitaka kuwajua wasanii ambao wazazi wao wana pesa utawajua tu yani hawana shobo na magazet ya udaku kama mama wema,ukisema uwoya wa kishua kidogo nitakuelewa ila sio nyumbu sepetu
Aaah UK ya wapi binamu? Kigoma au? Sasa kwa hiyo biashara ikiiisha ndo inafungwa? Hyo biashara ya mwendo kasi hakyamungu, akina bakhresa wangekua wanafanya hivyo sasa hivi wangekua sitimbi wanalima miogo yani biashara ikiisha inafungwa? Acheni utahira, biashara ikiisha that means ina demand kubwa so supply inaongezeka na sio kusema tena hawauzi peleken uongo wenu IG kwa mange
Binamu mbona walikulima ban ulifanya niniHivi zile Kiss by wema sepetu ziliishia wapi? Na lile duka la mwenge? Na sandals? Aaaah aaah nacheka kama mazuri dah,kweli wema fungu la kukosa
Na anataka kulala nae kabisa Yule nyumbu namjua, kinembe kinamuwasha, mke wa lema amkataze mama ubaya atamuaribia ndoa, na hivi lema katoka jela, akipata papuchi anaisugua kisawa saw a, so wema hana lolote anaenda tu kuvizia dyu dyu ya lema tumemshtukiaWema hana hela ila akizipata anazitapanya mwenyewe ila lulu lazima agawe ada ya mdogo wake,chakula home na mengineyo.
Wema kinachomsumbua ni sifa za kijinga,saiv anapanga kwenda kwa lema arusha. Amwache lema apumzike na familia yake,sms tu akimtumia inatosha sasa bidada anatafuta habar ya kuweka kwenye application na kiki juu