Mnachihangu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2022
- 890
- 1,022
Kweli Taikon nakuambia upinzani wa Tanzania ni wakudandia matukio tu mfano chadema ilikufa rasmi 2015Acha matusi ya rejareja Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Taikon nakuambia upinzani wa Tanzania ni wakudandia matukio tu mfano chadema ilikufa rasmi 2015Acha matusi ya rejareja Mkuu
Tena aliianzisha Lema akiwa ukimbizini alikokimbilia kuepuka madeni za zaidi ya mil 600. Yaani iko hivi, Lema baada ya dili ujambazi na wizi wa magari, alisunda kama mil 600 akakopa na kuwekeza kwenye forex, zikatapeliwa zote akaanza kuhahaKwema Wakuu!
Nilitaka kuwakumbusha tuu kuwa Kauli ya "Mama anaupiga mwingi" ilianzishwa na Wapinzani wala sio CCM yenyewe.
Tena mwanzoni Kauli hii haikuwa nzuri Kwa wana-ccm waliowengi hasa Wale ambao bado walikuwa hawaamini kuwa JPM ameshapumzika.
Kauli ya Mama anaupiga mwingi Kwa wanasiasa wa upinzani ililenga kuwafariji wapinzani baada ya mchakamchaka na mikikimikiki waliyoipata awamu ya tano.
Mchezo ulibadilika baada ya Mzee Mbowe kuwekwa ndani. Na hapo ikawa kuimba kupokezana.
Niwatakie maandalizi Mema ya SABATO.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Sisi tunachofurai mhutu yuko motoniHii kauli ilianzishwa na Godlisten Malisa na kina Lema wakifikiri wanamkomoa marehemu.
Kuna watu wapumbavu dunia hii
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata sukuma gangKwema Wakuu!
Nilitaka kuwakumbusha tuu kuwa Kauli ya "Mama anaupiga mwingi" ilianzishwa na Wapinzani wala sio CCM yenyewe.
Tena mwanzoni Kauli hii haikuwa nzuri Kwa wana-ccm waliowengi hasa Wale ambao bado walikuwa hawaamini kuwa JPM ameshapumzika.
Kauli ya Mama anaupiga mwingi Kwa wanasiasa wa upinzani ililenga kuwafariji wapinzani baada ya mchakamchaka na mikikimikiki waliyoipata awamu ya tano.
Mchezo ulibadilika baada ya Mzee Mbowe kuwekwa ndani. Na hapo ikawa kuimba kupokezana.
Niwatakie maandalizi Mema ya SABATO.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Hayo ni mambo yenu wenyewe huko CCM vita baina ya Sukuma Gang na Msoga Gang, ila mna kawaida kila mkivurugana lazima muisingizie Chadema. Sisi katika hii vita yenu hatuna upande kazi yetu ni kuchochea kuni ili muuane kabisa kwa vile nyie ni hayawani kwenu ni mwituni tu.Kwema Wakuu!
Nilitaka kuwakumbusha tuu kuwa Kauli ya "Mama anaupiga mwingi" ilianzishwa na Wapinzani wala sio CCM yenyewe.
Tena mwanzoni Kauli hii haikuwa nzuri Kwa wana-ccm waliowengi hasa Wale ambao bado walikuwa hawaamini kuwa JPM ameshapumzika.
Kauli ya Mama anaupiga mwingi Kwa wanasiasa wa upinzani ililenga kuwafariji wapinzani baada ya mchakamchaka na mikikimikiki waliyoipata awamu ya tano.
Mchezo ulibadilika baada ya Mzee Mbowe kuwekwa ndani. Na hapo ikawa kuimba kupokezana.
Niwatakie maandalizi Mema ya SABATO.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Hayo ni mambo yenu wenyewe huko CCM vita baina ya Sukuma Gang na Msoga Gang, ila mna kawaida kila mkivurugana lazima muisingizie Chadema. Sisi katika hii vita yenu hatuna upande kazi yetu ni kuchochea kuni ili muuane kabisa kwa vile nyie ni hayawani kwenu ni mwituni tu.View attachment 2452111View attachment 2452112