Kauli ya "Mama anaupiga mwingi" Ilianzishwa na Wapinzani

Kwema Wakuu!

Nilitaka kuwakumbusha tuu kuwa Kauli ya "Mama anaupiga mwingi" ilianzishwa na Wapinzani wala sio CCM yenyewe.
Tena mwanzoni Kauli hii haikuwa nzuri Kwa wana-ccm waliowengi hasa Wale ambao bado walikuwa hawaamini kuwa JPM ameshapumzika.

Kauli ya Mama anaupiga mwingi Kwa wanasiasa wa upinzani ililenga kuwafariji wapinzani baada ya mchakamchaka na mikikimikiki waliyoipata awamu ya tano.

Mchezo ulibadilika baada ya Mzee Mbowe kuwekwa ndani. Na hapo ikawa kuimba kupokezana.

Niwatakie maandalizi Mema ya SABATO.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Tena aliianzisha Lema akiwa ukimbizini alikokimbilia kuepuka madeni za zaidi ya mil 600. Yaani iko hivi, Lema baada ya dili ujambazi na wizi wa magari, alisunda kama mil 600 akakopa na kuwekeza kwenye forex, zikatapeliwa zote akaanza kuhaha
 
Kwema Wakuu!

Nilitaka kuwakumbusha tuu kuwa Kauli ya "Mama anaupiga mwingi" ilianzishwa na Wapinzani wala sio CCM yenyewe.
Tena mwanzoni Kauli hii haikuwa nzuri Kwa wana-ccm waliowengi hasa Wale ambao bado walikuwa hawaamini kuwa JPM ameshapumzika.

Kauli ya Mama anaupiga mwingi Kwa wanasiasa wa upinzani ililenga kuwafariji wapinzani baada ya mchakamchaka na mikikimikiki waliyoipata awamu ya tano.

Mchezo ulibadilika baada ya Mzee Mbowe kuwekwa ndani. Na hapo ikawa kuimba kupokezana.

Niwatakie maandalizi Mema ya SABATO.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Hata sukuma gang
 
Mwingine huyu, hawa watu ni wapuuiz sana
Screenshot_20210717-180826_Instagram.jpg
 
Kwema Wakuu!

Nilitaka kuwakumbusha tuu kuwa Kauli ya "Mama anaupiga mwingi" ilianzishwa na Wapinzani wala sio CCM yenyewe.
Tena mwanzoni Kauli hii haikuwa nzuri Kwa wana-ccm waliowengi hasa Wale ambao bado walikuwa hawaamini kuwa JPM ameshapumzika.

Kauli ya Mama anaupiga mwingi Kwa wanasiasa wa upinzani ililenga kuwafariji wapinzani baada ya mchakamchaka na mikikimikiki waliyoipata awamu ya tano.

Mchezo ulibadilika baada ya Mzee Mbowe kuwekwa ndani. Na hapo ikawa kuimba kupokezana.

Niwatakie maandalizi Mema ya SABATO.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Hayo ni mambo yenu wenyewe huko CCM vita baina ya Sukuma Gang na Msoga Gang, ila mna kawaida kila mkivurugana lazima muisingizie Chadema. Sisi katika hii vita yenu hatuna upande kazi yetu ni kuchochea kuni ili muuane kabisa kwa vile nyie ni hayawani kwenu ni mwituni tu.
FB_IMG_1572697051230.jpg
FB_IMG_1616545580714.jpg
 
Hayo ni mambo yenu wenyewe huko CCM vita baina ya Sukuma Gang na Msoga Gang, ila mna kawaida kila mkivurugana lazima muisingizie Chadema. Sisi katika hii vita yenu hatuna upande kazi yetu ni kuchochea kuni ili muuane kabisa kwa vile nyie ni hayawani kwenu ni mwituni tu.View attachment 2452111View attachment 2452112

Mkuu mbona unaniingiza Kwa walamba Asali Wakati Mimi nilienda tuu kutoa Mahari?😄
 
Back
Top Bottom