Kauli ya Mbunge Mnyeti mnaitafsirije?

Kauli ya Mbunge Mnyeti mnaitafsirije?

muafi

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
2,557
Reaction score
6,128
Hii kauli mbona kama vile inazidi kutuchafua huwenda alikua na mawazo mazuri lakino uwasilishaji umekua mbovu
 
View attachment 2270389

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema ubaguzi ni kama kula nyama ya binadamu ukianza mara moja huachi huyu ndiye alikiri kutoa rushwa kuwanunua madiwani wa upinzani pale Arusha. Hawa ndiyo vile vikundi vya kudhalilisha na kutesa watu ule mfumo bado upo kichwani mwao.
Kujenga diplomasia ni gharama kuiharibu ni mara moja huyu avuliwe ubunge kuitia doa sera yetu ya Diplomasia.
 
Huyu bado anakiburi sn
 
utani wa namna hiyo haufai tena kutolewa na mbunge, utani wa simba na yanga huwa unaishia baina yao tu,hauwezi husisha mambo mengine kama hili la ubaguzi na diplomasia na usalama.Yaelekea aliamkia Gwambina lounge moja kwa moja mjengoni.
 
Hii kauli mbona kama vile inazidi kutuchafua huwenda alikua na mawazo mazuri lakino uwasilishaji umekua mbovu
View attachment 2270389
Huu ndo ukweli! Ujinga huu wa kusaidia nchi jirani hata Nyerere aliufanya lakini hakuna tulichopata! Hata Marekani wanakusaidia wakiwa na masrahi na wewe! Sie tunasaidia tu lakini nothing we gain!
 
na ww ni mjinga
 
Back
Top Bottom