Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Marekani anaisaidia sana Mexico kwenye drug war, maana yeye ndio muathirika namba 1Uko sahihi! Ila nikwambie tu hakuna kitu tunapata kutokana na kufanya ulinzi wa amani! Nikupoteza vijana wetu kwenye mambo yasiyo ya msingi! Ushawahi kujiuliza kwa nini Mexico the drug nation ajabu lakini marekani hahangaiki nao! Congo ni wapuuzi sana hususani ikitokea uko kwao wanasumbua na hawana habari kama tunawasaidia!
Hata hivyo Mnyeti hoja yake imekaa kibaguzi na chuki na imejaa ujinga, Mayelle hahusiani chochote na hiyo vita wala hana nguvu za kuzuia wanaopigana, ni ishu ya commitment ya viongozi wa kisiasa
Mfano mbunge wa Ulaya atoe kauli hiyo kuhusu wachezaji wa Afrika wanaocheza huko unafikiri ingechukuliwaje?