Statehood ni sawa sawa na familia
Hii coment yako inaonyesha jinsi ulivyo mtu wa hovyo, mbinafsi ambaye upo karibu na famila yako na wengine unawaona kama kenge tuu
Inonyesha , hata jirani yako akivamiwa na majambazi akapiga mwano huwezi kwenda kutoa msaada kwa sababu sii kwako, na unaofia labda wale majambazi wanaweza kukudhuru, Lakini wewe ukipata janga unapiga kelele zinakwenda mpaka kijiji cha pili, aje nani wakati wewe wenzako yakiwakuta hotokei unachungulia dirishani tuu, hovyo kabisa
Hata kwenye mataifa, kuna kumjali mwenzako anapopata tatizo unatoka kwenda kumsaidia mwenzako aliye na shida, kuna ongeza trust, umoja na undugu na jamii ya kimataifa inakuweka katika orodha ya mataifa yaliostaarabika na yenye kiwango kikubwa cha diplomasia na kujali utu wa b inaadamu, hilo Tanzania tunalo siku nyingi na limeijengea nchi yetu heshima kubwa ya kimataifa.
Ndio maana hata leo taifa lolote likijifanya kunyanyua mkono dhidi ya taifa letu , watashambuliwa kila kona ya dunia kwa sababu ya mbegu ambayo nchi yetu imeipanda kimataifa kwa kupigania utu wa binaadamu popote pale duniani bila kujali