Uko sahihi! Ila nikwambie tu hakuna kitu tunapata kutokana na kufanya ulinzi wa amani! Nikupoteza vijana wetu kwenye mambo yasiyo ya msingi! Ushawahi kujiuliza kwa nini Mexico the drug nation ajabu lakini marekani hahangaiki nao! Congo ni wapuuzi sana hususani ikitokea uko kwao wanasumbua na hawana habari kama tunawasaidia!na ww ni mjinga
Ana wivu wa kike na Mayele huyuHili bunge lina wabunge wa hovyo sana. Sasa kutetema kwa Mayele na kulinda nnchi yao vina uhusiano gani?
Statehood ni sawa sawa na familiaHuu ndo ukweli! Ujinga huu wa kusaidia nchi jirani hata Nyerere aliufanya lakini hakuna tulichopata! Hata Marekani wanakusaidia wakiwa na masrahi na wewe! Sie tunasaidia tu lakini nothing we gain!
Apana uyo ni mbunge wa hovyo na mawazo yake ni ya hovyo mno huwezi kuwa mwakilishi wa wananchi bungeni alafu ukaenda kuongea upupu kama huu ikiwa jimboni kwake ni 2% tu ya wananchi wa jimbo lake wanaopata maji safi na salama kaongea mbunge lakini aibu naona mimi!!Hii kauli mbona kama vile inazidi kutuchafua huwenda alikua na mawazo mazuri lakino uwasilishaji umekua mbovu
View attachment 2270389
Hata kwa muonekano tu , Mnyeti haonekani kama ni mzima , jaribuni kuuliza waliofanya naye kazi kwa karibuHuyo mbunge ni kichaa, awahishwe mirembe.
Acha kujiliza liza.Statehood ni sawa sawa na familia
Hii coment yako inaonyesha jinsi ulivyo mtu wa hovyo, mbinafsi ambaye upo karibu na famila yako na wengine unawaona kama kenge tuu
Inonyesha , hata jirani yako akivamiwa na majambazi akapiga mwano huwezi kwenda kutoa msaada kwa sababu sii kwako, na unaofia labda wale majambazi wanaweza kukudhuru, Lakini wewe ukipata janga unapiga kelele zinakwenda mpaka kijiji cha pili, aje nani wakati wewe wenzako yakiwakuta hotokei unachungulia dirishani tuu, hovyo kabisa
Hata kwenye mataifa, kuna kumjali mwenzako anapopata tatizo unatoka kwenda kumsaidia mwenzako aliye na shida, kuna ongeza trust, umoja na undugu na jamii ya kimataifa inakuweka katika orodha ya mataifa yaliostaarabika na yenye kiwango kikubwa cha diplomasia na kujali utu wa b inaadamu, hilo Tanzania tunalo siku nyingi na limeijengea nchi yetu heshima kubwa ya kimataifa.
Ndio maana hata leo taifa lolote likijifanya kunyanyua mkono dhidi ya taifa letu , watashambuliwa kila kona ya dunia kwa sababu ya mbegu ambayo nchi yetu imeipanda kimataifa kwa kupigania utu wa binaadamu popote pale duniani bila kujali
Xenophobia ni nini?Hata hakuwa na wazo lolote zuri hiyo ni xenophobia [emoji817]
Nayaangalia maandishi yako nashindwa kuelewa kiungo gani cha mwili unachotumia kufikiriAcha kujiliza liza.
Congo ni kitovu cha mabeberu na vibaraka wake.
Hatuwezi kupigana vita za wendawazimu.
Huyo Mhe. awaishwe Milembe akapate tiba!Hii kauli mbona kama vile inazidi kutuchafua huwenda alikua na mawazo mazuri lakino uwasilishaji umekua mbovu
View attachment 2270389
Hii kauli mbona kama vile inazidi kutuchafua huwenda alikua na mawazo mazuri lakino uwasilishaji umekua mbovu
View attachment 2270389
Kuna eneo la kufanya utani na kuna issue za kujadili kwa kina. sasa sioni ubaya wowote wa mcheza mprira kutafuta riziki yake kihalali au kwa kufunga asishangilie. inamaana nchi zote zenye matatizo wananchi wake hawana haki ya kufanya shughuli zingine za kiuchumi? yaani alitaka ndugu zetu wakongo waondoke hapa kweli? Mayele ni mcheza mpira siyo mwanajeshi afadhali angesema wanajeshi wa kongo wanakula raha huku wanajeshi wa Tanzania wanapigana hapo sawa.Ningekuwa spika ningemwambia afute kauli aisee hii ni kaliHii kauli mbona kama vile inazidi kutuchafua huwenda alikua na mawazo mazuri lakino uwasilishaji umekua mbovu
View attachment 2270389
Haikuwa utani, nilimsikiliza video yote alikuwa serious, tena kuna wabunge walimuelewesha akagomaAlitaka kufanya utani wa Simba na Yanga lakini bahati mbaya amepitia njia mbovu