Kauli ya Mbunge Mnyeti mnaitafsirije?

Marekani anaisaidia sana Mexico kwenye drug war, maana yeye ndio muathirika namba 1
Hata hivyo Mnyeti hoja yake imekaa kibaguzi na chuki na imejaa ujinga, Mayelle hahusiani chochote na hiyo vita wala hana nguvu za kuzuia wanaopigana, ni ishu ya commitment ya viongozi wa kisiasa

Mfano mbunge wa Ulaya atoe kauli hiyo kuhusu wachezaji wa Afrika wanaocheza huko unafikiri ingechukuliwaje?
 
Eti huyu Ndiyo muwakilishi wa wananchi wake aibu sana.
 
Amekosea tu jinsi alivowasilisha ila mnyeti yuko sawa Tanzania ilishawahi kusaidia nchi Fulani apa kusin kusini lakini juzi Kati apa waliondolewa kibabe ikabid wakimbilie mikoa ya kusini OK kusaidia kupo Tanzania imefaidika au inafaidika na nn ilivosaidia nchi zote za kusini mwa Africa ikiwemo South Africa, Congo ameshasaidiwa Sana na bado anaendelea kusaidiwa lakin wananchi wake Wale mastaa hawachangiii chochote kwenye nchi yao
 
Mpuuzi uyo amshukuru kitwanga aliyempeleka India kusoma na kutumia dola efu efu hamsini ni mbunge wa ovyo sana.....
 
Ukweli kabisa wabunge kama Hawa wakiwa hata watatu tu, nchi inayumba:
1:Amesahau nchi haiwezi ajiri Kila mtu kuwa mwanajeshi
2: Amesahau mpira ni miongoni mwa mgawanyo tu wa kazi kama vile wengine wakulima,wengine wanajeshi nk
3:Amesahau kuwa hata hapa Tanzania Kuna rasilimali zinaibiwa lakini siyo watanzania wote wanahusika kudhibiti uporaji huo
4: Amesahau kauli zake kama za kichochezi
 
some niggas need a head shot, some niggas need two. Mbunge ovyo sijawahi ona wiki hii.
 
Ficha upuuzi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…