Kauli ya mbunge Sugu kwamba CCM inachukua watu "Wajinga wajinga" kutoka CHADEMA siyo ya kiungwana

Ujinga sio tusi bali na hali kutokujua jambo fulani. Kila mtu mjinga kwa jambo fulani. Ujinga sio upumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal Mayalla unasimamia maneno yako? Nani mwenye jeuri ya kuacha marupurupu baada ya kutumikia ubunge/udiwani kwa miaka minne eti kisa amejitambua na kuamua kurudi chama mbadala ambacho kwa vyovyote atapoteza haki zake zote alizotumikia kwa miaka minne? Nakuelewa sana ila; Je, inaingia akilini?
 
Ile lugha ya Mkapa kwa wapinzani ilikuwa nzuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofautisha mtu mjinga na mpumbavu. Sugu hajatukana. Mjinga ni mtu ambaye hajui ila akieleweshwa atajua asilolijua.
Mpumbavu akili zake ni kidogo au hana akili kabisa akili za utambuzi. Huyu hata umfundishe vipi hawezi kuelewa.
Kuwa maelezo hayo mafupi umenielwa kwa vlle wewe si mpumbavu.
 
Nimekuelewa bwashee!
 
Waliokuwa wanaita wengine "makapi" walikuwa wanatumia lugha ya kistaarabu ya ccm?
 
Samaki mmoja akioza kwenye tenga basi wote uhesabika wameoza
In God we Trust
 
Mbona mnatoa mapovu si wameamua wao sasa ninyi hasira ya nini kama ninyi ndio wajinga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti wenu anapowaita watu wapumbafu sana mnacheeeka na hujaja kulalama lkn sugu kutoa mawazo yake imekuuma... huo nao ni ujinga vilevile!!
Mwanaume unaejitambua shurti uwe na misimamo na huwezi badilishwa kama demu unatongozwa kisha unahongwa kidogo unatoa (kadi ya zamani). Nyerere aliwaita wanasiasa waaina hii kuwa na wanasiasa Malaya-malaya!!!
Wasiwe waoga kama kuku,kesho upepo ukigeuka utayakuta yanarudi upinzani,unasaliti wapiga kura wako kibwege unashindwa kukaza hata miaka mitano iishe kisa njaa alafu wengine unawambia wajiajiri... Hawa watu ni malofa,majinga,masaliti na yamejaa tamaa yamali wasijidai nihaki kuhama huo niupuuzi. Waitara alikiri alichungulia akaona akiwa upinzani hatoshinda ndipo akaingia ccm sasa huo sio ujinga? Unawaza tuu wewe kushinda sio Sera ya chama nk. Jinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…