Du wameshaanza kusema wajingawajinga 2015 wakati wanakuja chadema mliona watu wa maaana mfa maji haaachi kutapatapa mkuje muunge mkono juhudi za mjomba magufuri ,
Wanasiasa hawa ni wajinga na waondoke, hakuna aina hii ya wanasiasa wakawa na uwezo wa kuwasaidia waTZ kuwa na maendeleo na kuwabadilisha kifkra.
ByUnaye tetea ni mjinga na mwenye fikra za kishenzi.
Huwezi kuwa mtu mwenye kufikri kwa namna yako ukapata kuwasaidia watu kupata maendeleo.
Hatuwahitaji hujui hata maana ya upinzani wa kisiasa.
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.
Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.
Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.

Ni kutojitambua na watu wa aina hiyo ni wengi sana hata humu JF, nadhani unajionea wanavyojibu thrd hii. Hawajui kwamba kuchaguliwa ni ushawishi na ukishasema kuna wajinga, hata kama ni kweli ujue hizo kura umezikosa.
btw., Sugu mwenyewe yukoje? mbona hata kwa assessment ya usoni anaonekana uwezo mdogo?
Ni hapo tuu ndipo Chadema, viongozi wake, wanachama wake na manazi wa Chadema they got it wrong, hawana uwezo wa kutafakari na kuchukua hatua!.
Tangu ule waraka wa mabadiliko, ulikuwa na hoja za msingi sana, Chadema haina watu wenye uwezo huo.
Kati ya wanaondoka Chadema, ni kweli kuna malaya wa kisiasa ambao wanaondoka kwa umalaya malaya baada ya kutongozwa, lakini pia kuna wanaoondoka Chadema kwa kujitambua. Hawa wanaoondoka Chadema kwa kujitambua, kwanza huwaaga rasmi na kuwaambia makosa yenu, mmoja wao ni Dr. Slaa, mpaka sasa hajajiunga CCM, labda awe amerudi kwa siri. Na baada ya kuwaeleza ukweli, hutakaa uwasikie wakiibeza tena Chadema kwa lolote.
Mfano Lawrence Masha alipoondoka, aliwaandikia barua rasmi ya kuaga na akaeleza hoja zake, nami nikawasisitiza humu
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali kuhusu Chadema, kuwa ni sikio la kufa, katika safari ya kuelekea kushika dola, Chadema kinafanya makosa, hivyo kinashindwa kushika dola, wako watu wenye uono, huwa wanakiambia Chadema makosa yake na kwa nini hakishiki dola, lakini Chadema hakisikii, kinaweka...
Ni hapo tuu ndipo Chadema, viongozi wake, wanachama wake na manazi wa Chadema they got it wrong, hawana uwezo wa kutafakari na kuchukua hatua!.
Tangu ule waraka wa mabadiliko, ulikuwa na hoja za msingi sana, Chadema haina watu wenye uwezo huo.
Kati ya wanaondoka Chadema, ni kweli kuna malaya wa kisiasa ambao wanaondoka kwa umalaya malaya baada ya kutongozwa, lakini pia kuna wanaoondoka Chadema kwa kujitambua. Hawa wanaoondoka Chadema kwa kujitambua, kwanza huwaaga rasmi na kuwaambia makosa yenu, mmoja wao ni Dr. Slaa, mpaka sasa hajajiunga CCM, labda awe amerudi kwa siri. Na baada ya kuwaeleza ukweli, hutakaa uwasikie wakiibeza tena Chadema kwa lolote.
Mfano Lawrence Masha alipoondoka, aliwaandikia barua rasmi ya kuaga na akaeleza hoja zake, nami nikawasisitiza humu
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali kuhusu Chadema, kuwa ni sikio la kufa, katika safari ya kuelekea kushika dola, Chadema kinafanya makosa, hivyo kinashindwa kushika dola, wako watu wenye uono, huwa wanakiambia Chadema makosa yake na kwa nini hakishiki dola, lakini Chadema hakisikii, kinaweka...
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.
Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.
Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.
Kama ni wajinga kwa nini wali wapitisha kubeba bendera ya CDM kwenye uchaguzi? Kauli hii haiendani na hadhi ya Mh Mbilinyi ana sifa za utendaji kazi jumuishi. Kauli hii itatumiwa kuharibu sifa yake nzuri. Kama hao madiwani 11 kila mmoja akashawishi wapiga 50 kutompigia kura Mh Mbilinyi, atapoteza kura 550. Yuko tayari kuzipoteza kwa kauli iliyokosa taswira ya uongozi? Akitoa kauli zingine 10 kama hiyo atakuwa amekwaza na kupoteza wapiga kura 5,500. Kwa kifupi wewe ni kiongozi kauli zako zitakubeba au kukuangisha. Bado mapema basilica
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.
Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.
Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.
Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.
Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.