Kwani ujinga ni tusi? Mjinga nimtu asiyeelewa Jambo Ila akieleweshwa anaelewa,kuwa shabiki wasimba hakukufanyi usitambue uwezo bora wayanga lakini kuhama Simba kwenda yanga ndiohoja kuu ulizo.
johnthebaptist, Mjinga ni yule anashawishi ujinga kufanyika, katika hili KK hakwepi sifa hii. Nenda Tanzania Visiwani nenda sehemu yoyote ile kwenye siasa makini za ushindani, huwezi kukuta ujinga kama huu wa kuwanunua wapinzani wako ili waunge juhudi.
Upuuzi huu umeandikwa kwa wino wa "kinyesi cha kitimoto" ambao watoto na wajukuu wao watakuja kuwadharau daima, upuuzi ambao waasisi wa taifa letu ijapokuwa walikuwa ndio waasisi wa CCM, lkn katu wasingelithubutu kuutenda.
Kabisa. Ni kama historia ya Sultani Mangungo! Kama tunavyosoma historia ya vyama kama TANU, ASP nk, hayo pia yatasomwa na vizazi vyetu, hata kama watafanikiwa kuuwa kabisa upinzani. Kilangila.
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.
Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.
Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.

Ni zaidi ya wajinga wajinga, yani kiongozi wa upinzani kashinda kwa shida kasababisha mpaka kuna watu wamekua vilema kwa kulinda kura ila mwisho wa siku anakubali kuachia jimbo au kata kwa kuunga mkono juhudi tena kipindi hichi tunachokaribia uchaguzi mkuu. Sasa huyu aitweje zaidi ya mjinga mjinga?
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.
Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.
Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.
Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.
Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.
Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.
Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.
Ni hapo tuu ndipo Chadema, viongozi wake, wanachama wake na manazi wa Chadema they got it wrong, hawana uwezo wa kutafakari na kuchukua hatua!.
Tangu ule waraka wa mabadiliko, ulikuwa na hoja za msingi sana, Chadema haina watu wenye uwezo huo.
Kati ya wanaondoka Chadema, ni kweli kuna malaya wa kisiasa ambao wanaondoka kwa umalaya malaya baada ya kutongozwa, lakini pia kuna wanaoondoka Chadema kwa kujitambua. Hawa wanaoondoka Chadema kwa kujitambua, kwanza huwaaga rasmi na kuwaambia makosa yenu, mmoja wao ni Dr. Slaa, mpaka sasa hajajiunga CCM, labda awe amerudi kwa siri. Na baada ya kuwaeleza ukweli, hutakaa uwasikie wakiibeza tena Chadema kwa lolote.
Mfano Lawrence Masha alipoondoka, aliwaandikia barua rasmi ya kuaga na akaeleza hoja zake, nami nikawasisitiza humu
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali kuhusu Chadema, kuwa ni sikio la kufa, katika safari ya kuelekea kushika dola, Chadema kinafanya makosa, hivyo kinashindwa kushika dola, wako watu wenye uono, huwa wanakiambia Chadema makosa yake na kwa nini hakishiki dola, lakini Chadema hakisikii, kinaweka...
Mjinga huwezi kumwelewa mpaka pale anapofanya mambobya kijinga. Unaweza kumpa mtu uongozi ukiamini ana uelewa lakini atakavyotenda, ndiyo utajua kama ana uelewa au ni mjinga.
Kuchaguliwa kuwa mbunge, Rais, diwani, Mwenyekiti, Katibu, n.k. haimaanishi kuwa ni mtu mwenye weledi. Bali atakavyotenda ndipo utajua kama mliyemchagua ni mwerevu au ni mjinga, mnafiki, fisadi au mwongo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.