infinix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 2,096
- 2,150
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani hata yeye anatamani muda wowote ahamie ccm ila tu tatizo habakishagi akiba ya maneno ndiyo maana hana chakusema siku ya kuhamia ccm na ukizingatia na jimbo tayari ni la dadayetu sijui atyarudi kuimba?Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.
Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.
Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.
Maendeleo hayana vyama!
Mafao ya wastaafu yanatumika kununulia wapinzani! Kilangila.Hili halihitaji mjadala, sasa kama chama kinatumia rasilimali za nchi kununua viongozi wa upinzani hicho chama tutakosaje kukiita chama cha wajinga.
Atahamiaje wakati yeye siyo mjinga? Huko wanahamia wajinga tu,huelewi?yaani hata yeye anatamani muda wowote ahamie ccm ila tu tatizo habakishagi akiba ya maneno ndiyo maana hana chakusema siku ya kuhamia ccm na ukizingatia na jimbo tayari ni la dadayetu sijui atyarudi kuimba?
Kwani Sugu ni mnyakyusa?wanyakyusa kwa maneno ya karaha hawajambo. Unaweza tolewa neno zito yeye anaona ni lepesi, hapo shughuri kwa mpokeaji sasa 😛
Kama umenisoma vizuri, nimesema kuna wahamaji Chadema wa aina mbili,Neno “kujitambua”, umelitumia sehemu isiyostahili kwa maoni. Labda kutoka ccm ndo kujitambuwa.
Kwani walipoingia chadema walikuwa “hawajitambui”?
Pia sidhani kama ni sahihi kuwajumuisha Dr Slaa na Masha kwenye umalaya malaya huu unaondelea mkuu.
Kama umenisoma vizuri, nimesema kuna wahamaji Chadema wa aina mbili,
1. Wanasiasa malaya malaya wanaohama Chadema kwa kutongozwa, hivyo kuhamia CCM kwa umalaya malaya.
2. Kuna wanasiasa ambao wamejitambua, hawa are men of principles, wamekaa Chadema wakaiona Chadema inakwenda mrama, wakataka kuisaidia haisaidiki, wakajiondokea tena kwa kuaga rasmi na kamwe huwawasikia waiitukana Chadema au kuibeza. Hili ndlo kundi la Dr. Slaa na Masha
Naendelea kusisitiza
PWanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
Mkuu Yohane Mbatizaji, kwa ruhusa yako, naomba kutumia bandiko lako hili kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.
Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.
Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.
Maendeleo hayana vyama!
Ruksa mkuu!Mkuu Yohane Mbatizaji, kwa ruhusa yako, naomba kutumia bandiko lako hili kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.
P
nenda dodoma, uzaliwe dodoma, usome dodoma, upatie kipaji dodoma,.......hata kama wazazi wako ni wakulya...halooo wewe ni mgogo by birth and live 😛Kwani Sugu ni mnyakyusa?
Ukiona vipi nawe ni mjingaNimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.
Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.
Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.
Maendeleo hayana vyama!
Pia nimemsikia akisema bashiru anachukua wanaopigiwa kura sio wapiga kura! Nimemuelewa sana. Ronaldo alipoondoka madrid kwenda Juventus alienda yy kama yy. Fans walibaki madrid.Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.
Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.
Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.
Maendeleo hayana vyama!
Kuwaita wajinga amewastahi sana neno linaloendana nao ni "malaya wa kisiasa"Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.
Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.
Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.
Maendeleo hayana vyama!
aSio wajinga tu,bali ni zaidi ya wajinga.