Kauli ya mbunge Sugu kwamba CCM inachukua watu "Wajinga wajinga" kutoka CHADEMA siyo ya kiungwana

Wanasiasa hawa ni wajinga na waondoke, hakuna aina hii ya wanasiasa wakawa na uwezo wa kuwasaidia waTZ kuwa na maendeleo na kuwabadilisha kifkra.
ByUnaye tetea ni mjinga na mwenye fikra za kishenzi.
Huwezi kuwa mtu mwenye kufikri kwa namna yako ukapata kuwasaidia watu kupata maendeleo.
Hatuwahitaji hujui hata maana ya upinzani wa kisiasa.
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.

Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.

Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.

Maendeleo hayana vyama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm wanawanunua wapigiwa kura, wanaacha kuwanunua wapiga kura, aisee wenye akili tu ndo wataelewa ccm mlivyodharauliwa kwa maneno hayo ya sugu
 
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.

Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.

Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.

Maendeleo hayana vyama!
Ni kutojitambua na watu wa aina hiyo ni wengi sana hata humu JF, nadhani unajionea wanavyojibu thrd hii. Hawajui kwamba kuchaguliwa ni ushawishi na ukishasema kuna wajinga, hata kama ni kweli ujue hizo kura umezikosa.

btw., Sugu mwenyewe yukoje? mbona hata kwa assessment ya usoni anaonekana uwezo mdogo?
 
Acha uongo! Wenye kujielewa wawe msitari mmoja na malaya kivp yani.
Ni hapo tuu ndipo Chadema, viongozi wake, wanachama wake na manazi wa Chadema they got it wrong, hawana uwezo wa kutafakari na kuchukua hatua!.

Tangu ule waraka wa mabadiliko, ulikuwa na hoja za msingi sana, Chadema haina watu wenye uwezo huo.

Kati ya wanaondoka Chadema, ni kweli kuna malaya wa kisiasa ambao wanaondoka kwa umalaya malaya baada ya kutongozwa, lakini pia kuna wanaoondoka Chadema kwa kujitambua. Hawa wanaoondoka Chadema kwa kujitambua, kwanza huwaaga rasmi na kuwaambia makosa yenu, mmoja wao ni Dr. Slaa, mpaka sasa hajajiunga CCM, labda awe amerudi kwa siri. Na baada ya kuwaeleza ukweli, hutakaa uwasikie wakiibeza tena Chadema kwa lolote.

Mfano Lawrence Masha alipoondoka, aliwaandikia barua rasmi ya kuaga na akaeleza hoja zake, nami nikawasisitiza humu

P
 
Umemaliza kila kitu Pascal!

cc: Daudi Mchambuzi, Salary Slip, Douglas Sallu na Chakaza
 
Mzee Mkapa alivyosema "UKAWA(including Chadema) Ni Marofa" Mlimutolea povu Hamukujua yeye Ni mzee na anaona mbali Zaidi yenu.

Ona Sasa nyie wenyewe mmeanza kuitana Wajinga na Marofa..

Hakika nawambien nyie CDM Hadi uchaguzi kuja ukafika Natumai Kauli ya Mzee Mkapa na ninyi Ni Marofa mtaielewa vizuri..

This is just an intro....
 
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.

Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.

Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.

Maendeleo hayana vyama!
Kama ni wajinga kwa nini wali wapitisha kubeba bendera ya CDM kwenye uchaguzi? Kauli hii haiendani na hadhi ya Mh Mbilinyi ana sifa za utendaji kazi jumuishi. Kauli hii itatumiwa kuharibu sifa yake nzuri. Kama hao madiwani 11 kila mmoja akashawishi wapiga 50 kutompigia kura Mh Mbilinyi, atapoteza kura 550. Yuko tayari kuzipoteza kwa kauli iliyokosa taswira ya uongozi? Akitoa kauli zingine 10 kama hiyo atakuwa amekwaza na kupoteza wapiga kura 5,500. Kwa kifupi wewe ni kiongozi kauli zako zitakubeba au kukuangisha. Bado mapema basilica
 
Wajinga tu tena mimi nikikasirika neno pumbavu shuwaini takataka huwa yanakuja harakaharaka mdomoni nasema jinga kabisa.
 
Sasa mtu anayenunuliwa kama changudoa wa pale uwanja wa fisi wewe kwa akili zako hizo fupi ulitegemea aitweje, eti shujaa...!!!

Sugu has got it right, very right. Those are pure harlots just like other harlots in a brothel.
 
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.

Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.

Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu na pale ccm walipowafananisha wale waliokuwa wanahamia Upinzani na Oil chafu huo haukuwa Uhuni ?.
 
Nimemsikia mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kupitia ayo tv akidai alipigiwa simu na Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru Ally ili ajiunge nao lakini amemkatalia.

Sugu amedai kuwa sura yake siyo ya CCM na kwamba wanaohamia chama tawala ni wale Wajinga wajinga.

Hizi lugha za kihuni hazipaswi kutumiwa na wabunge wamwachie Hajji Manara.

Maendeleo hayana vyama!
Ni wazi kwamba sio tu wajinga wajinga bali wapumbavu na malaya wa kisiasa
 
Back
Top Bottom