Kauli ya mbunge Sugu kwamba CCM inachukua watu "Wajinga wajinga" kutoka CHADEMA siyo ya kiungwana

bashiru ally siasa inaharibu legacy yako ya utumishi katika sekta ya Elimu

wanafunzi wako wote wanapima ubovu wa kichwa chako,
ivi unataka demokrasia ama unaharibu nchi kimkakati
shame on you ,daktari bashiru ally
 
Mimi binafsi aliehama CCM na kwenda upinzani kusaka demokrasia then akapata nafasi upinzani ya kuwakilisha wananchi baadae anahama tena anarudi CCM na kusema CCM na kusema kuna demokrasia wakat alihama kwa sababu hyo ( wapo wengi) kwanini wasianzishe chama chao chenye demokraisia ya kweli ambayo watatushhawishi tunaopenda demokrasia ya kweli mana tupo wengi sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ruksa mkuu!
Asante sana, ngoma hewani
P
 
Unatoka huku na malalamiko unaenda kule unalalamika unarudi tena ulipotoka, sijui wnatumia akili gani hawa watu ila kwa akili ya kawaida sijui kama kuna mbunge anaweza kuacha m 200 kwa sababu yoyote ile wanazingua hali zao za kimaisha hazijafika level hzo na wenyewe wanajua hilo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yaani Paskali unatuita sisi manazi !!?, siamini kabisa, na ndio maana huwa najiuliza mara kwa mara, uko wapi utu uzima wako unaojitanabaisha nao ?, Paskali hayo maneno hayakufanani unless uwe umelewa, na inawezekana mimi huwa nakupandisha chati bure tu.
 
Kuchukuliwa kwa 'kuhongwa, kuahidiwa vitu au vyeo', aliyekuahidi tayari alishakudharau na kukuona wewe ni mjingamjinga unaweza kurubuniwa. Umesema kweli Mh. komredi Sugu endelea kuwachana.
 
Sio tu ni wajinga lakini pia si ridhiki kwa sababu CCM ni genge la mashosti!
 
yaani hata yeye anatamani muda wowote ahamie ccm ila tu tatizo habakishagi akiba ya maneno ndiyo maana hana chakusema siku ya kuhamia ccm na ukizingatia na jimbo tayari ni la dadayetu sijui atyarudi kuimba?
Akihamia CCM asipopata Ubunge hana sifa ya kupewa kazi za kuteuliwa sasa nini kitamsukuma kuhamia huko? Kina Masinji kwa elimu zao wanajua teuzi zinazokuja watapewa ajira
 
Yaani Paskali unatuita sisi manazi !!?, siamini kabisa, Paskali hayo maneno hayakufanani unless mimi huwa nakupandisha chati bure tu.
Mkuu Costa, kwanza pole kwa tafsiri potofu ya manazi, sikumaanini ni vichwa nazi bali washabiki wakereketwa na wafurukutwa ambao huwambii chochote kuhusu Chadema or against Chadema.

Manazi wa vyama sio neno baya.
P
 
Mkuu Costa, kwanza pole kwa tafsiri potofu ya manazi, sikumaanini ni vichwa nazi bali washabiki wakereketwa na wafurukutwa ambao huwambii chochote kuhusu Chadema or against Chadema.

Manazi wa vyama sio neno baya.
P
Sharp, sikufahamu kama neno hilo laweza kuwa na tafsiri hiyo, nilidhani nilivyojua awali umetutukana, anyway kama hukudhamiria kututukana then It is OK. lakini ieleweke kwamba alichokisema Mh Mbilinyi ni sahihi kabisa, hatuhitaji kusubiri nyinyi watetezi wa ccm mkubali
 
dah yaani unasoma shule kama ilboru halafu unakuwa kama hivi......hatari sana!
 

Kweli kabisa. Sugu alipaswa kusema CCM imechukua wanachama wa Chadema wale malaya malaya, kama alivyosema Nyerere.
 
WEWE KWA AKILI YAKO UNAONA MTU ANAYEJIUNGA NA CCM ANA AKILI NZURI? YAANI UNAPOJIUNGA NA CCM UNAKUWA UNATAKA NINI HASA?
 
tatizo ni pale asilimia kubwa ya viongozi wetu wa organs sensive kama bunge wanapokosa kuitambua hadhi yao na umuhimu wa post zao katika aidha kuijenga au kuibomoa jamii. kauli nyingi za viongoz wa kisiasa huwa hazija haririwa kbal ya kwenda kwenye hadhira.
TABADILIKE
 

Matusi ambayo lowasa alikuwa anatukanwa na wana ccm umesahau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…