Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Chalamila nuksi sanaJuzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mtu kama yeye
Nauhakika manji alivyosikia ile kauli ni kama iliyonesha kidonda ambacho kilikua hakijapona inauma sana kuja gundua kwamba utajiri wako serekali iliaamua kuuchukua kibabe kuzaliwa Tanzania na afrika kwa ujumla ni changamoto sana
Yeye na Magufuli hizi Dhambi hazitawaacha.Chura kiziwi anajifanya mwema ila utawala wake unaumiza watu wengi sana
Hakika kuna wakati napata ukakasi na kauli za huyu jamaa RC wa Dar🙃🙃Juzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mtu kama yeye
Nauhakika manji alivyosikia ile kauli ni kama iliyonesha kidonda ambacho kilikua hakijapona inauma sana kuja gundua kwamba utajiri wako serekali iliaamua kuuchukua kibabe kuzaliwa Tanzania na afrika kwa ujumla ni changamoto sana
Ccm walimfuata kumpa Dili awasaidie kuiba ndo matunda yake hayoJuzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mtu kama yeye
Nauhakika manji alivyosikia ile kauli ni kama iliyonesha kidonda ambacho kilikua hakijapona inauma sana kuja gundua kwamba utajiri wako serekali iliaamua kuuchukua kibabe kuzaliwa Tanzania na afrika kwa ujumla ni changamoto sana
Wobongo kwa kuunganisha matukio hamjambo.Juzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mtu kama yeye
Nauhakika manji alivyosikia ile kauli ni kama iliyonesha kidonda ambacho kilikua hakijapona inauma sana kuja gundua kwamba utajiri wako serekali iliaamua kuuchukua kibabe kuzaliwa Tanzania na afrika kwa ujumla ni changamoto sana
Una uhakika!!!???Juzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mtu kama yeye
Nauhakika manji alivyosikia ile kauli ni kama iliyonesha kidonda ambacho kilikua hakijapona inauma sana kuja gundua kwamba utajiri wako serekali iliaamua kuuchukua kibabe kuzaliwa Tanzania na afrika kwa ujumla ni changamoto sana
Mwenye macho haambiwi tazamaUna uhakika!!!???
Kichwa cha habari na kilichomo ndani ya habari haviendani hata kidogo.Juzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mtu kama yeye