Kauli ya mkuu wa mkoa Chalamila, kwenye mgomo wa wafanyabiashara ilimrudishia Yusuf Manji maumivu makubwa sana

Juzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mtu kama yeye

Nauhakika manji alivyosikia ile kauli ni kama iliyonesha kidonda ambacho kilikua hakijapona inauma sana kuja gundua kwamba utajiri wako serekali iliaamua kuuchukua kibabe kuzaliwa Tanzania na afrika kwa ujumla ni changamoto sana.
View attachment 3030028
Kuna watu wa kuwatetea ila sio huyo manji na rostam aziz tatizo Tanzania sisi ni wapole sana hao jamaa wametufanyia unyama na kutudharau sana aisee.
 
Juzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mtu kama yeye

Nauhakika manji alivyosikia ile kauli ni kama iliyonesha kidonda ambacho kilikua hakijapona inauma sana kuja gundua kwamba utajiri wako serekali iliaamua kuuchukua kibabe kuzaliwa Tanzania na afrika kwa ujumla ni changamoto sana.
View attachment 3030028
Huyu mpum*** alisema hivyo? Alimwongezea msongo wa mawazo! Na jiwe alikuwa na visasi vya hovyo sana!
 
Live chalamila alisema ni jumatatu iliyopita itakua baada ya kuwa alisikia hii kauli manji alipata high blood pressure ambayo itakua iligoma kushuka
 
Ila Manji alipiga sana za Food Aid Counterpart kwa kushirikiana na Wanasiasa, Quality Plaza, Quality Center, Quality Motors majengo msururu ya pale Pugu road serekali ilitaifisha yote
 
Juzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mtu kama yeye

Nauhakika manji alivyosikia ile kauli ni kama iliyonesha kidonda ambacho kilikua hakijapona inauma sana kuja gundua kwamba utajiri wako serekali iliaamua kuuchukua kibabe kuzaliwa Tanzania na afrika kwa ujumla ni changamoto sana.
View attachment 3030059
😀😀😀😀😀 walimwengu jamani😀😀😀😀
 
Huyu chalamila hajakua Kama alivyoambiwa na Rais. Anapenda kuropoka Kama mjinga. Kulikuwa Kuna haja gani ya kumtaja Manji kwenye kusanyiko Kama lile?. Very stupid guy.
Mkuu wa mkoa mropokaji bila kuangalia athari za atakachoongea.
 
Juzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mtu kama yeye

Nauhakika manji alivyosikia ile kauli ni kama iliyonesha kidonda ambacho kilikua hakijapona inauma sana kuja gundua kwamba utajiri wako serekali iliaamua kuuchukua kibabe kuzaliwa Tanzania na afrika kwa ujumla ni changamoto sana.
View attachment 3030059
Wakuu naomba kuuliza, Kwani Yusufu Manji ameumwa nini hadi mauti kumpata?
 
Back
Top Bottom