Kauli ya mkuu wa mkoa Chalamila, kwenye mgomo wa wafanyabiashara ilimrudishia Yusuf Manji maumivu makubwa sana

Kuna watu wa kuwatetea ila sio huyo manji na rostam aziz tatizo Tanzania sisi ni wapole sana hao jamaa wametufanyia unyama na kutudharau sana aisee.
 
Kuna watu wa kuwatetea ila sio huyo manji na rostam aziz tatizo Tanzania sisi ni wapole sana hao jamaa wametufanyia unyama na kutudharau sana aisee.
Ni kweli ila serekali haikutakiwa kukiri wazi-wazi
 
Huyu mpum*** alisema hivyo? Alimwongezea msongo wa mawazo! Na jiwe alikuwa na visasi vya hovyo sana!
 
Huyu mpum*** alisema hivyo? Alimwongezea msongo wa mawazo! Na jiwe alikuwa na visasi vya hovyo sana!
Live chalamila alisema ni jumatatu iliyopita itakua baada ya kuwa alisikia hii kauli manji alipata high blood pressure ambayo itakua iligoma kushuka
 
Ila Manji alipiga sana za Food Aid Counterpart kwa kushirikiana na Wanasiasa, Quality Plaza, Quality Center, Quality Motors majengo msururu ya pale Pugu road serekali ilitaifisha yote
 
Ila Manji alipiga sana za Food Aid Counterpart kwa kushirikiana na Wanasiasa, Quality Plaza, Quality Center, Quality Motors majengo msururu ya pale Pugu road serekali ilitaifisha yote
Alikua mwizi a.k.a fisadi
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ walimwengu jamaniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Huyu chalamila hajakua Kama alivyoambiwa na Rais. Anapenda kuropoka Kama mjinga. Kulikuwa Kuna haja gani ya kumtaja Manji kwenye kusanyiko Kama lile?. Very stupid guy.
Mkuu wa mkoa mropokaji bila kuangalia athari za atakachoongea.
 
Wakuu naomba kuuliza, Kwani Yusufu Manji ameumwa nini hadi mauti kumpata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…