the truecaller
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 809
- 940
Wapinzani mmegeuka COMEDIANS
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana tofauti gani na JPM? Msigwa naye atakuwa na sifa zinazotakiwaHiv jaman Urais ushaakua mwepesi kiasi hiki? Yaani hata Msigwa anahisi kua anatosha kua Rais? Tuache utani jaman na haya mambo embu tuiheshimu nchi hii bwana alaah
Nyie mbugila mbugila msioelewa kitu mnaishia kushangaa tu, yule mkulima aliyetoka Kigoma alipotia nia kugombea urais kupitia CCM 2015 uliandika huu uharo wako?Wapinzani mmegeuka COMEDIANS
Huyo akipewa ubunge atakuwa anashinda misibani!
Mpaka unashangaa kiasi hiki kisa tu Msigwa anataka urais brain yako itakuwa imegandana sana.Hiv jaman Urais ushaakua mwepesi kiasi hiki? Yaani hata Msigwa anahisi kua anatosha kua Rais? Tuache utani jaman na haya mambo embu tuiheshimu nchi hii bwana alaah
Steve Nyerere hana uhusianao wowote na watu wa Mara,ni mhuni tu wa Iringa huko.Steven Nyerere ataendaje kugombe Iringa huku yeye ni mtu wa Butiama na anaishi Dar es Salaam; ningeelewa kama angekuwa anaishi Iringa
Kweli JF imepoteza hadhi, hii kweli ni hoja ya kuleta jukwaani tuijadili?View attachment 1469496
MBUNGE wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, baada ya kueleza kuwa anayo nia ya kugombea nafasi ya Urais ndani ya chama chake, amepata kigugumizi kulijibu swali la kwamba hivyo ndivyo ataachana na wananchi wake endapo ataingia kwenye nafasi kubwa ya Urais.
“Ni kweli nimepeleka barua siku ya jana, mimi sijasema kwamba nataka kuwaaga wananchi wa Iringa hayo ni maneno yako, halafu ukisema nataka kumkimbia Steve Nyerere kwani yeye ni nani, na ndani ya siku nne nitaongea na vyombo vya habari kueleza kwanini naitaka nafasi hiyo” amesema Mchungaji Msigwa.
Juni 3, 2020 Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika alitangaza rasmi kufungua mlango wa watia nia ya kugombea nafasi ya Urais, waanze kupeleka barua ofisini kwake, zoezi ambalo litahitimishwa Juni 15, 2020.
Vp huyo Msigwa bado hajaunga mkono juhudi?View attachment 1469496

Hivi Msigwa yule wa South Africa aliachana naye maana alikuwa anahatarisha ndoa za Watu, harafu anajiita Mchungaji.Steve Nyerere, anagombea Iringa, kwani Iringa kuna Msiba? Maana huyo taaluma yake ni kukusanya rambirambi
Mkuu upo? Kitambo sana kakaSteve Nyerere, anagombea Iringa, kwani Iringa kuna Msiba? Maana huyo taaluma yake ni kukusanya rambirambi
Usiondoke bro cc hatukuchagua chama tulichagua msigwa unataka kutuachia vichaa watuwakilishe ukiondoka tutampa another msigwa yahya dk km atachukua fomu hata ya TLP tutampa tu kuliko kumpa hayawani.....wapi mwakalebela??!!View attachment 1469496