Uchaguzi 2020 Kauli ya Msigwa kuhusu Urais na kumuachia jimbo Steve Nyerere

Hiv jaman Urais ushaakua mwepesi kiasi hiki? Yaani hata Msigwa anahisi kua anatosha kua Rais? Tuache utani jaman na haya mambo embu tuiheshimu nchi hii bwana alaah
Ana tofauti gani na JPM? Msigwa naye atakuwa na sifa zinazotakiwa
 
Hiv jaman Urais ushaakua mwepesi kiasi hiki? Yaani hata Msigwa anahisi kua anatosha kua Rais? Tuache utani jaman na haya mambo embu tuiheshimu nchi hii bwana alaah
Mpaka unashangaa kiasi hiki kisa tu Msigwa anataka urais brain yako itakuwa imegandana sana.
Naona tatizo lako unaangalia mwili badala ya akili.
Nikuambie tu kuwa Msigwa anafiti vizuri kabisa kutoa huduma ya urais hapa nchini, na si Msigwa pekee- ni wanannchi wengi tu wanaweza kushika huu wadhifa.

Kama una hofu yoyote basi kapambane kumkampenia mgombea wako unayeona anakufaa.
 
Ivi km magufuli kaweza kuwa rais, nani njii hii atashindwa kuwaongoza wadanganyika hata ebitoke unaweza kuwa rais mzuri kuliko hata huyu Wa chato
 
Steven Nyerere ataendaje kugombe Iringa huku yeye ni mtu wa Butiama na anaishi Dar es Salaam; ningeelewa kama angekuwa anaishi Iringa
 
Steven Nyerere ataendaje kugombe Iringa huku yeye ni mtu wa Butiama na anaishi Dar es Salaam; ningeelewa kama angekuwa anaishi Iringa
Steve Nyerere hana uhusianao wowote na watu wa Mara,ni mhuni tu wa Iringa huko.
 
steve nyerere ni mmoja wa wanachama wajinga wa ccm
 
Kweli JF imepoteza hadhi, hii kweli ni hoja ya kuleta jukwaani tuijadili?
Very soon, JF itakuwa kama gazeti la Tanzanite na hii inatokana na vijana wa Polepole aliowapa ajira wavamie JF.
 
Vp huyo Msigwa bado hajaunga mkono juhudi?
Au kwa mzee Pinda alienda kushauriwa abaki akivuruge CDM/?
 
Steve Nyerere, anagombea Iringa, kwani Iringa kuna Msiba? Maana huyo taaluma yake ni kukusanya rambirambi
Hivi Msigwa yule wa South Africa aliachana naye maana alikuwa anahatarisha ndoa za Watu, harafu anajiita Mchungaji.
Kwa taarifa yako Mtu ambaye ni Mtetezi wa wale Wanaume wanaofanya ya jinsia nyingine naye yumo.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Mh. Mch. Msigwa ana nia ya dhati ya kugombea urais. Hapa tunachezeshwa ngoma ya CHADEMA na sisi tupo busy katikati ya mduara na vibwaya zetu tukitimua vumbi kwa minenguo. Siasa ni sayansi na pia ni sanaa, jadili.
 
Usiondoke bro cc hatukuchagua chama tulichagua msigwa unataka kutuachia vichaa watuwakilishe ukiondoka tutampa another msigwa yahya dk km atachukua fomu hata ya TLP tutampa tu kuliko kumpa hayawani.....wapi mwakalebela??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…