Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Wana Simba mna maoni gani kuhusu kauli hii ya mwekezaji wa Klabu ya Simba? Mwaga maoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo sahihiWana Simba mna maoni gani kuhusu kauli hii ya mwekezaji wa Klabu ya Simba? Mwaga maoni.
Kwa pesa madafu yetu nilisikia 700MHivi kweli Luis Miquissone alisajiliwa kwa dolla za marekani 300,000/-?!
ahaaa,,ni nouma.[SUB]Sure![/SUB]
[SUB]timu inaacha wachezaji 14![/SUB]
[SUB]Sasa unajiuliza hiyo ni timu ya mpira au joging club[/SUB]
Thubutu....Hivi kweli Luis Miquissone alisajiliwa kwa dolla za marekani 300,000/-?!
Hivi kwa mdomo wa Haji angekua amelikalia kimya hilo dau hadi Shaffi aje alibumbulue?Hivi kweli Luis Miquissone alisajiliwa kwa dolla za marekani 300,000/-?!
HahahaHivi kwa mdomo wa Haji angekua amelikalia kimya hilo dau hadi Shaffi aje alibumbulue?
TIMU NZURI YA VIJEBA. CHIPUKIZI NI WANNE TU.Ni kweli, Timu nzr inaongezea tu kwenye mapungufu ili kuboresha kikosi
Utopolo pamoja na hao watoto mnaojivunia tukawafukua mitaro [emoji28][emoji28]TIMU NZURI YA VIJEBA. CHIPUKIZI NI WANNE TU.