kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mudi bahili tu timu yake imejaa Wazee kuliko timu nyingine yoyote unawezaje sema haisajili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mudi bahili tu timu yake imejaa Wazee kuliko timu nyingine yoyote unawezaje sema haisajili
" Sina pesa ya Usajili"
Mudi bahili tu timu yake imejaa Wazee kuliko timu nyingine yoyote unawezaje sema haisajili
unawaza kiutopoloMudi bahili tu timu yake imejaa Wazee kuliko timu nyingine yoyote unawezaje sema haisajili
Nyie manyani kochani wenu alishasema hamjui mpira, uneducated mmekaa kubweka kama majibwa halafu mnadai mmetukanwaHata darasa la vilaza huwa lina anayeshika number moja darasani. Eti team nzuri ?????CL hapo mtabofolewa mpaka kibofu. Mkitoka nje ya Tanzania hamna kitu.
Mudi bahili tu timu yake imejaa Wazee kuliko timu nyingine yoyote unawezaje sema haisajili
TIMU NZURI YA VIJEBA. CHIPUKIZI NI WANNE TU.
Anapigwa hela kashtuka.Wana Simba mna maoni gani kuhusu kauli hii ya mwekezaji wa Klabu ya Simba? Mwaga maoni.
Hata darasa la vilaza huwa lina anayeshika number moja darasani. Eti team nzuri ?????CL hapo mtabofolewa mpaka kibofu. Mkitoka nje ya Tanzania hamna kitu.
One kote. Kwa nini umeniuliza ?Dada ulipata division ngapi o level na A level..
Tunazungumzia kauli ya mudi[SUB]Sure![/SUB]
[SUB]timu inaacha wachezaji 14![/SUB]
[SUB]Sasa unajiuliza hiyo ni timu ya mpira au joging club[/SUB]
One kote. Kwa nini umeniuliza ?
hatujaifikia standard ya wachezaji wa LiverpoolTunaiga kwa Liverpool.
Don't fix what's not broken.