Kauli ya mwisho ya marehemu rafiki yangu ilikuwa tusi la nguoni. Je, ataenda mbinguni?

Kauli ya mwisho ya marehemu rafiki yangu ilikuwa tusi la nguoni. Je, ataenda mbinguni?

Mtu kataja kiungo cha mwili unasema tusi je angesema mguu, au kichwa, au mkono ????
 
Hapa nimechukulia tusi lililotolewa na mtu ambaye aliona gari linaacha njia yake na kumfuata aliko na kisha kumhonga na kumuua. Mleta hii mada alisema alimsikia alitoa tusi ambalo after all limezoeleka sana na wakati mwingine hata kupoteza maana tusi na kuwa tu 'loose expression'. Mimi nikasema mlengwa hakusikia (hakuna madhara) na hata kuangalia tusi lenyewe huenda hata siyo tusi kwa maana halisi ya tusi. Tusi ni pale mtu anapolenga kuumiza feelings za mtu mwingine au kumshushia heshima. Unapomuumiza feelings za mtu au kumshushia heshima unamuathiri huyo mtu na kwa vile unafanya kwa makusudi (maana ungeweza kujizuia) unakuwa umetenda dhambi (umeharibu uhusiano wako na Mungu na mtu mwenzako).
Nimekuelewa vizuri sana mkuu
 
Back
Top Bottom