Huyo ndivyo alivyo. Ana ubabe sana!Leo Bungeni Waitara alikuwa anajenga hoja ya swali la nyongeza lakini kabla hajamaliza hoja yake Naibu Spika akamwamuru na kusema "Kaa Chini".
Kitendo cha Naibu Spika kumtolea lugha ya kaa chini siyo lugha ya kiungwana na hii inaonyesha ubabe wa Naibu Spika.
Unapokuwa Bungeni unatakiwa uonyeshe kuwa wewe ni kiongozi unawaongoza watu kwa weledi. Kwa kitendo hiki anatakiwa amuombe radhi Waitara.
Siyo kwa Zungu, hamna mtu "popular" kama huyo bungeni.There is loneliness at the top
Zamani niliwaambia watu, huyo ni 99% "chizi kapewa rungu" msije mkashanga siku akimwambia mbunge "we msenge kaa chini".
Huyu mimi naamini na uzee wake sasa hivi, ukimletea ujinga anakurukia kichwa.
Unamsifia mjinga mwenzio!Msiyemfahamu Zungu, hilo toto la Kiarabu la kariakoo, limekiwa na manunda wa Gerezani na mchikichini, enzi alizokulia huyo mitaa yake yote ni ubabe tu, ukiwa bwege bwege unaonewa, kama haitoshi, kutoka hapo akachaguliwa kwenda jeshini kutokea shule. X soldier huyo, wengi tunaomfahamu huyo Kariakoo tukawa tuna uhakika huyo ni mtu wa system. Enzi za Nyerere ukichaguliwa kwenda jeshini ili uwe "system" juwa huyo ni kipanga "multi-talented".
Sikilizeni vizuri lugha yake bungeni, hataki wala hapendi longolongo na amri zake zimekaa kijeshi na kibabe, zimechanganyika pamoja. Mtajaza wenyewe.
Zamani niliwaambia watu, huyo ni 99% "chizi kapewa rungu" msije mkashanga siku akimwambia mbunge "we msenge kaa chini".
Huyu mimi naamini na uzee wake sasa hivi, ukimletea ujinga anakurukia kichwa.
Hilo ni toto la Kariakoo typical.Unamsifia mjinga mwenzio!
Kuwa mwarabu koko nayo sifa?
Bado yupo ndani ya boksi huyo Tulyansha.Kila amuonapo mbunge aliyetokea ukinzani anadhani ni adui yake wakati wote wapo "Sisyemu" tu.Leo Bungeni Waitara alikuwa anajenga hoja ya swali la nyongeza lakini kabla hajamaliza hoja yake Naibu Spika akamwamuru na kusema "Kaa Chini".
Kitendo cha Naibu Spika kumtolea lugha ya kaa chini siyo lugha ya kiungwana na hii inaonyesha ubabe wa Naibu Spika.
Unapokuwa Bungeni unatakiwa uonyeshe kuwa wewe ni kiongozi unawaongoza watu kwa weledi. Kwa kitendo hiki anatakiwa amuombe radhi Waitara.
Hapo sasa umekasirika. Zungu huyo, mzee wa Dubai DP World kishakunywa nae gahwa.Huyo waitara ni mmoja kati ya wabunge wangese na taifa hili kwasasa halitaki mapopoma ya kifala kama huyo German shepherd aka 🐕. Waitara anaikandamiza Tz inunuliwe na DP world kisa kutafuta ubunge Rorya? Ningekuwa Mimi Zungu ningelipiga makofi kabisa jitu hovyo na mimacho yake kama majipu. Shiiit
Shangazi bado una ufala mwingi sana.Haujambo lakini?Hilo ni toto la Kariakoo typical.
Kuwa toto la Kariakoo ni sifa kubwa sana, wageni wengi wa Dar kupitia hapo ni sifa kwao. Seuse waliozaliwa hapo.
Nyerere alipitia hapo, tena mtaa mmoja na Zungu, Aggrey Street, kabla ya hapo ukiitwa Stanley, sasa unaitwa Max Mbwana.
Mkapa alipita hapo. Kikwete alipita hapo, kijiwe kimoja na Zungu, Saigon.
Hata wewe siku ukija Dar, kama hujafika Kariakoo inakuwa hujafika Dar.
Leo Bungeni Waitara alikuwa anajenga hoja ya swali la nyongeza lakini kabla hajamaliza hoja yake Naibu Spika akamwamuru na kusema "Kaa Chini".
Kitendo cha Naibu Spika kumtolea lugha ya kaa chini siyo lugha ya kiungwana na hii inaonyesha ubabe wa Naibu Spika.
Unapokuwa Bungeni unatakiwa uonyeshe kuwa wewe ni kiongozi unawaongoza watu kwa weledi. Kwa kitendo hiki anatakiwa amuombe radhi Waitara.
Jibu hoja, ufala wangu wewe unakuuma nini? Wale wale nini?Shangazi bado una ufala mwingi sana.Haujambo lakini?
Waitara jinga sana Zungu pamoja na ubabe wake huwa anahoja nzuri tu MkuuHapo sasa umekasirika. Zungu huyo, mzee wa Dubai DP World kishakunywa nae gahwa.
Huyo hata chadema nawa vyama vya upinzani wa Ilala walisema mbunge wetu ni huyu tu.Waitara jinga sana Zungu pamoja na ubabe wake huwa anahoja nzuri tu Mkuu
🤣🤣🤣🤣🙌Msiyemfahamu Zungu, hilo toto la Kiarabu la kariakoo, limekiwa na manunda wa Gerezani na mchikichini, enzi alizokulia huyo mitaa yake yote ni ubabe tu, ukiwa bwege bwege unaonewa, kama haitoshi, kutoka hapo akachaguliwa kwenda jeshini kutokea shule. X soldier huyo, wengi tunaomfahamu huyo Kariakoo tukawa tuna uhakika huyo ni mtu wa system. Enzi za Nyerere ukichaguliwa kwenda jeshini ili uwe "system" juwa huyo ni kipanga "multi-talented".
Sikilizeni vizuri lugha yake bungeni, hataki wala hapendi longolongo na amri zake zimekaa kijeshi na kibabe, zimechanganyika pamoja. Mtajaza wenyewe.
Zamani niliwaambia watu, huyo ni 99% "chizi kapewa rungu" msije mkashanga siku akimwambia mbunge "we msenge kaa chini".
Huyu mimi naamini na uzee wake sasa hivi, ukimletea ujinga anakurukia kichwa.
Ila Dada Faiza umenichekesha sana juu ya historia ya maisha ya Zungu.Mzee mtata sana yule!Jibu hoja, ufala wangu wewe unakuuma nini? Wale wale nini?