Volodimiri Zelensiki
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 1,154
- 3,417
Sijui nilihisi labda rangi yake lkn nikaona inakuwaje aitwe hivyo Kwakweli sijawahi kufuatilia ila najua ni mtu poa sanaHuyo hata chadema nawa vyama vya upinzani wa Ilala walisema mbunge wetu ni huyu tu.
Zungu ni mtu wa watu.
Mnafahamu hilo jina Zungu alilipata vipi?
Zungu la Unga hiloZungu
Majina mengine bhana!
Hana sura, body language , tone, wala administartive knwolege and skills, achilia mbali skills za kusomea hata ile ya kawaida tu ambayo kila mtu anayo huyu mjamaa hana.. sijawhi kuona anaongoza ispokua kukwaza tuLeo Bungeni Waitara alikuwa anajenga hoja ya swali la nyongeza lakini kabla hajamaliza hoja yake Naibu Spika akamwamuru na kusema "Kaa Chini".
Kitendo cha Naibu Spika kumtolea lugha ya kaa chini siyo lugha ya kiungwana na hii inaonyesha ubabe wa Naibu Spika.
Unapokuwa Bungeni unatakiwa uonyeshe kuwa wewe ni kiongozi unawaongoza watu kwa weledi. Kwa kitendo hiki anatakiwa amuombe radhi Waitara.
Huyo huwezi kumpuuza, hana ujinga wa kuweza kupuuzwa na hauna ujanja wa kumsema kuwa ana makosa. Ni mtu anaeelewa anafanya nini.Kwa hiyo FF unamaanosha apuuziwe sababu ya "uchizi" wake?
Leo Bungeni Waitara alikuwa anajenga hoja ya swali la nyongeza lakini kabla hajamaliza hoja yake Naibu Spika akamwamuru na kusema "Kaa Chini".
Kitendo cha Naibu Spika kumtolea lugha ya kaa chini siyo lugha ya kiungwana na hii inaonyesha ubabe wa Naibu Spika.
Unapokuwa Bungeni unatakiwa uonyeshe kuwa wewe ni kiongozi unawaongoza watu kwa weledi. Kwa kitendo hiki anatakiwa amuombe radhi Waitara.
Huyo Zungu ni Katili na hafai sijui ilikuwaje ccm wakampitisha huyo Mzee hana busara na ana jazba hata Tulia akasome.Leo Bungeni Waitara alikuwa anajenga hoja ya swali la nyongeza lakini kabla hajamaliza hoja yake Naibu Spika akamwamuru na kusema "Kaa Chini".
Kitendo cha Naibu Spika kumtolea lugha ya kaa chini siyo lugha ya kiungwana na hii inaonyesha ubabe wa Naibu Spika.
Unapokuwa Bungeni unatakiwa uonyeshe kuwa wewe ni kiongozi unawaongoza watu kwa weledi. Kwa kitendo hiki anatakiwa amuombe radhi Waitara.
Haaàaa akae chin tuu, Bora amemuwahi mana mura hakawii kuliaLeo Bungeni Waitara alikuwa anajenga hoja ya swali la nyongeza lakini kabla hajamaliza hoja yake Naibu Spika akamwamuru na kusema "Kaa Chini".
Kitendo cha Naibu Spika kumtolea lugha ya kaa chini siyo lugha ya kiungwana na hii inaonyesha ubabe wa Naibu Spika.
Unapokuwa Bungeni unatakiwa uonyeshe kuwa wewe ni kiongozi unawaongoza watu kwa weledi. Kwa kitendo hiki anatakiwa amuombe radhi Waitara.
Hana lolote.Huyo huwezi kumpuuza, hana ujinga wa kuweza kupuuzwa na hauna ujanja wa kumsema kuwa ana makosa. Ni mtu anaeelewa anafanya nini.
Mimi nimejaribu kuifafanuwa lugha yake, ni ya kikariakoo na nikaeleea kidogo alikotokea. Ana sifa hizi:
1) kazaliwa mjini, kakulia mjini, enzi za utemi wa mjini.
2) kaanzia kazi jeshini na kaishi huko.
3) Kaishi nje ya nchi kwa miaka mingi (kwa hiyo ana exposure).
4) Kwenye siasa kaanzia miytaani mpaka sasa Naibu Spika, anazijuwa corridor za kisiasa vilivyo.
5) Shule kaenda na Madrassa kaenda. Humwambii kitu.
6) Mbunge wa wilaya ambayo ni kitovu cha utajiri wa Tanzania.
7) Mbunge wa wilaya amabyo ni kitovu cha siasa za Tanzania.
8) Dar ni maarufu, tena maarufu kweli kweli, circle zote anazijuwa, za kisiasa, za kibisashara, za kisomi, za kidini.
9)( wengi hawalijuwi hili, huyo kishakuwa mchezaji mpira mzuri sana. Kilichomrudisha nyuma kwenye mpira ni kwenda jeshini tu, nadhani kitengo chake kule kilikuwa kinahusika na mambo nyeti sana, hakuwa na muda mrefu wa kujiendeleza kimpira.
Mtu kama huyo utamueleza nini wakuja kama wewe?
Elimu humoati, madrassa humati, utoto wa mjini humpati, umaarufu humpati, exposure humpati, siasa humpati. Umaarfufu humpati. Inabidi umuombee mema na zzidi kuwa mwema.
Sasa nikueleze alivyo 'doen to earth". Hivi na uspika wake, kuna siku nimekuta ghafla kakaa kwenye mabenchi na mkewe (nafahamiana na mkewe) pale Regency wanangoja namba wamuone Doctor, basi kaja kijana kuji-endekezeza pale, mzee njoo hku, Azzan akanyanyuka akamsikiliza akaja kukaa, nikajuwa kamkatalia kwenda n kablla ya aliowakuta hawajaenda mwanzo. Ingawa alitaka kupewa [rority akagoma, mkewe ananinong'oneza, huyu mzee mie naumwa, yeye anataka nisote tu hapa, hakubali tuingie mpaka tuliowakuta mbele wamalizike.
Huyo ndiyo Zungu, "a man down to earth".
Allah ampe umri mrefu na amzidishie hekima. Amiin.
Sasa ww Habari za kujua waarabu za nini hivi tufanye nn ili ujue ww sio muarabu .ww pia sio mrundi mbona huwaongeleiMsiyemfahamu Zungu, hilo toto la Kiarabu la kariakoo, limekiwa na manunda wa Gerezani na mchikichini, enzi alizokulia huyo mitaa yake yote ni ubabe tu, ukiwa bwege bwege unaonewa, kama haitoshi, kutoka hapo akachaguliwa kwenda jeshini kutokea shule. X soldier huyo, wengi tunaomfahamu huyo Kariakoo tukawa tuna uhakika huyo ni mtu wa system. Enzi za Nyerere ukichaguliwa kwenda jeshini ili uwe "system" juwa huyo ni kipanga "multi-talented".
Sikilizeni vizuri lugha yake bungeni, hataki wala hapendi longolongo na amri zake zimekaa kijeshi na kibabe, zimechanganyika pamoja. Mtajaza wenyewe.
Zamani niliwaambia watu, huyo ni 99% "chizi kapewa rungu" msije mkashanga siku akimwambia mbunge "we msenge kaa chini".
Huyu mimi naamini na uzee wake sasa hivi, ukimletea ujinga anakurukia kichwa.
Waitara hajawahi kuongea kitu cha maana hata siku moja. Ningekuwa mimi ndio spika au naibu nisingempa huyo mjinga nafasi ya kuongea bungeni maana ni kupoteza bule muda wa bungeLeo Bungeni Waitara alikuwa anajenga hoja ya swali la nyongeza lakini kabla hajamaliza hoja yake Naibu Spika akamwamuru na kusema "Kaa Chini".
Kitendo cha Naibu Spika kumtolea lugha ya kaa chini siyo lugha ya kiungwana na hii inaonyesha ubabe wa Naibu Spika.
Unapokuwa Bungeni unatakiwa uonyeshe kuwa wewe ni kiongozi unawaongoza watu kwa weledi. Kwa kitendo hiki anatakiwa amuombe radhi Waitara.
Duh... Mhe. Zungu ni mtoto wa mjini, born town, hatakagi ujinga ujinga!. Vicky Kamata Anastahili Pongezi!, Asimama Kidete Kupinga Uonevu, Ubabe na Double Standards za Zungu!Leo Bungeni Waitara alikuwa anajenga hoja ya swali la nyongeza lakini kabla hajamaliza hoja yake Naibu Spika akamwamuru na kusema "Kaa Chini".
Kitendo cha Naibu Spika kumtolea lugha ya kaa chini siyo lugha ya kiungwana na hii inaonyesha ubabe wa Naibu Spika.
Unapokuwa Bungeni unatakiwa uonyeshe kuwa wewe ni kiongozi unawaongoza watu kwa weledi. Kwa kitendo hiki anatakiwa amuombe radhi Waitara.
Naunga mkono hoja, Vicky Kamata Anastahili Pongezi!, Asimama Kidete Kupinga Uonevu, Ubabe na Double Standards za Zungu!Msiyemfahamu Zungu, hilo toto la Kiarabu la kariakoo, limekiwa na manunda wa Gerezani na mchikichini, enzi alizokulia huyo mitaa yake yote ni ubabe tu, ukiwa bwege bwege unaonewa, kama haitoshi, kutoka hapo akachaguliwa kwenda jeshini kutokea shule. X soldier huyo, wengi tunaomfahamu huyo Kariakoo tukawa tuna uhakika huyo ni mtu wa system. Enzi za Nyerere ukichaguliwa kwenda jeshini ili uwe "system" juwa huyo ni kipanga "multi-talented".
Sikilizeni vizuri lugha yake bungeni, hataki wala hapendi longolongo na amri zake zimekaa kijeshi na kibabe, zimechanganyika pamoja. Mtajaza wenyewe.
Zamani niliwaambia watu, huyo ni 99% "chizi kapewa rungu" msije mkashanga siku akimwambia mbunge "we msenge kaa chini".
Huyu mimi naamini na uzee wake sasa hivi, ukimletea ujinga anakurukia kichwa.
Mimi sijaona na wala sijaunga mkono chochote, nimeandika wasifu wa Zungu nimjuavyo. Sijamuona huyo Kamata wala kakamata nini.
Kwa faida ambao hatukuwepo, nimeingia tovuti rasmi ya Bunge kuondoa dhana kuwa inaweza kuwa story za corner ya Saigon Kariakoo Darslam na kuthibitisha ni kweli habari hiiX soldier huyo
| School Name/Location | Course/Degree/Award | From | To | Level |
|---|---|---|---|---|
| Tanzania Mozambique Centre for Foreign Relations | Diplomatic Studies | 2021 | 2021 | Executive Certificate |
| Institute of International Relations Cairo, Egypt | Diplomatic Studies | 2007 | 2007 | Executive Certificate |
| National Defence College | Eleventh Capstone Course | 2021 | 2021 | Executive Certificate |
| Military College of Aviation - Tanzania / Canada | Principal Aircraft Maintanance Engineer | 1979 | 1982 | Professional Certificate |
| Kinondoni Secondary School | CSEE | 1966 | 1968 | Secondary School |
| Tambaza Secondary School | ACSEE | 1968 | 1969 | Secondary School |
| St. Joseph Primary School | CPEE | 1958 | 1965 | Primary School |
| Company/Institution | Position | From | To |
|---|---|---|---|
| Field Aviation - Toronto, Canada | Engineer | 1980 | 1980 |
| Military College of Aviation - Airwing Tanzania / Canada | Aircraft Engineer - Level One | 1973 | 1974 |
| Military College of Aviation - Airwing Tanzania / Canada | Aircraft Engineer - Level Three | 1970 | 1971 |
| Military College of Aviation - Airwing Tanzania / Canada | Aircraft Engineer - Level |
Huyu zungu ana ubaguzi "Uarabu" dhidi ya watu weusi. Ningekuwa Waitara ningemtukana.Leo Bungeni Waitara alikuwa anajenga hoja ya swali la nyongeza lakini kabla hajamaliza hoja yake Naibu Spika akamwamuru na kusema "Kaa Chini".
Kitendo cha Naibu Spika kumtolea lugha ya kaa chini siyo lugha ya kiungwana na hii inaonyesha ubabe wa Naibu Spika.
Unapokuwa Bungeni unatakiwa uonyeshe kuwa wewe ni kiongozi unawaongoza watu kwa weledi. Kwa kitendo hiki anatakiwa amuombe radhi Waitara.
Ni mpumbavu tu.Msiyemfahamu Zungu, hilo toto la Kiarabu la kariakoo, limekiwa na manunda wa Gerezani na mchikichini, enzi alizokulia huyo mitaa yake yote ni ubabe tu, ukiwa bwege bwege unaonewa, kama haitoshi, kutoka hapo akachaguliwa kwenda jeshini kutokea shule. X soldier huyo, wengi tunaomfahamu huyo Kariakoo tukawa tuna uhakika huyo ni mtu wa system. Enzi za Nyerere ukichaguliwa kwenda jeshini ili uwe "system" juwa huyo ni kipanga "multi-talented".