Kauli ya Naibu Spika kwa Waitara siyo ya kiungwana

Huyu mtu bwege sana na akipewa uspika full huyu hamna Usalama wa nchi
 
Ubwa tu huyo hafai
 
Ila Dada Faiza umenichekesha sana juu ya historia ya maisha ya Zungu.Mzee mtata sana yule!
Kuna siku alimwambia Halima Kaa chini usijifanye unajua sana kanuni za Bunge,watu tunalala nazo kitandani!🤣
Zungu anajua sana jinsi ya kuwathibiti wabunge wanaopoteza muda bila kuchangia hoja za maana! Hata walipokuwepo wabunge wa vyama vingine alikuwa anaendesha vikao bila upendeleo tofauti na yule mgogo!!
 
Mm hata Spika na naibu spika wa siku hz siwajui kwa sababu lile sio Bunge ila ni kundi la ngedere wanaofanya kazi ya kuiba mahindi kwenye shamba la mkulima.
 

Tegemeeni na haya mambo kuyaona bandarini.
 
Acha apambane na hali yake,laana hizo zimeanza
 
Hamna lolote Kariakoo, sasa wananunuliwa na wa kuja. Wachagga na Wakinga kibao.
Tunajua weakness zenu watoto wa mjini kupenda vijisifa vingi.
Nikutaarifu kuwa nimesoma na watoto wa mzee Max, pamoja na marehemu Ahmed.
Kina Marijani Shabaan, Jabali la muziki, tupo wote miaka hiyo Tambaza Sec.
Cha msingi hao watoto wa mjini, zaidi ya starehe wame achieve nini hutuelezi.
Sie tuliotoka uswekeni sasa kariakoo tunaikamata.
 
Bado yupo ndani ya boksi huyo Tulyansha.Kila amuonapo mbunge aliyetokea ukinzani anadhani ni adui yake wakati wote wapo "Sisyemu" tu.
Umeshindwa kumuelewa kabisa Zungu.

Huyo I ina Waitara anawafahamu ujeuri wao kuanzia jeshini, kishwachapa sana vichwa jeshoni mpaka wakamheshimu.

Huyo alikuwa "role model" ya vijana wa Kariakoo walioenda jeshini enzi za Nyerere. Licha ya wengi wengine, minunda ya Kiarabu ya Kariakoo iliyoenda jeshini alikuwa huyo na kama mliwahi kumsikia na matmrehem TamTamim, rubani wa ndege za kivita, alikufa siku ya sherehe pale uwanja wa taifa. Alijitahidi sana akaidondosha ndege nje ya uwanja, la sivyo ingekuwa janga la kitaifa, ingedondokwa bdani ya uwanja, ingeuwa wengi sana. Mwenyezi Mungu amrehemu.

Hao mashujaa wetu Kariakoo.
 
Wala hii tabia sio mpya, imedum kwa miaka mingi san.. fuatilia upinzani wakifukuzwa bungeni utadhani vibaka tena kushikwa juu na askari wa bunge!!!
 
Hoja si kwenda jeshini.Hoja ni kuielewa hoja na kumchukulia mtu kwa uongeaji wake.Anakuwa "bitter" sababu ya jamaa kutokea CDM na kuingia CCM.Ni hilo tu na hana utetezi mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…