Pre GE2025 Kauli ya Nape na Mkuu wa Wilaya ya Longido kuwa serikali ya CCM inalazimisha ushindi katika uchaguzi zinahalalisha kuindoa CCM madarakani kwa nguvu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kabisa CCM waondoke sasa tena kabla ya 2025.
 
Mimi huwa najiuliza Hv sisi Tanzania tuna shida gani yaani kuanzia kwa wananchi hadi jeshini hakuna watu jasiri wote waoga watupu sijui tunaumwa ugonjwa gani? Hebu angalia Afrika maghalibi jeshi pamoja na wananchi wanajitambua sana na hawawezi kuvumilia ujinga na upumbavu wa wanasiasa wanaoyumbisha nchi.Hehu muangalie Generali Mabeho eti anatuambia Magufuli alipofariki watu(viongozi)ndani ya serikali wakaanza kubishana juu ya nani awe Rais,Alafu yeye Generali Mabeho akawaambia tuangalie Katiba inasema nini,Sasa swali linakuja Hv kwani hawa viongozi waliokuwa wanabishana hawajui katiba inasemaje na wengine Kati yao walikuwa wabobezi wa masuala ya Sheria.Mimi nadhani CDF alijivika vazi ambalo sio lake kuanza kuwafundisha wanasheria katiba,hapa kazi ya CDF ilikuwa ni moja tu,mlitakiwa muwaache wanasiasa wajinga na wapumbavu wabishane tu wala msiwasemeshe kitu ili wakiuke KATIBA tu,basi ndilo ilikuwa la kufanya hayo mengine mliyoyafanya ni kujipendekeza tu mbele ya wanasiasa wajinga,washenzi na wapumbavu wasio na Akili.Inawezekana muda huu nchi ingekuwa pazuri sana tungekuwa tumeondokana na wanasiasa walafi wa madaraka.
 
Mkuu, CDF anaweza alikuwa sahihi kusema Katiba inasemaje, kwa sababu ni wajibu wa JWTZ kulinda Katiba kama moja ya kazi zao. Unafiki wa CDF unakuja pale ambapo Raisi kila siku anakiuka katiba lakini hatuoni tena akitoka kuitetea Katiba kama alivyofanya Magufuli alipokufa. Hakuna Raisi ambae ameongoza kwa kuvunja katiba kama Samia, anamzidi hata Magufuli. CDF amekuwa akipewa vizawadi na JWTZ wamekuwa wakifanyiwa mambo ambayo yanawafanya wajifanye vipofu kabisa kwa kinachoendela nchini. Wapo wanafurahia mabasi mapya na ulaji mwingine basi hawasikii tena habari ya kuvunjwa katiba au watu kutekwa na kuuwawa na na vyombo vya usalama vya serikali
 
Mtoto alikuwa analia kapewa pipi,mabasi na vizawadi.huku katiba inavunjwa kupindukia,kazi ipo Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…