Kauli ya Netanyahu alipokutana na Mawaziri wa mambo ya nje wa Czech na Slovak

Kauli ya Netanyahu alipokutana na Mawaziri wa mambo ya nje wa Czech na Slovak

BEDUI Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2016
Posts
2,041
Reaction score
2,846
Nukuu
PM Netanyahu: " Msaada kwa Hamas na Islamic Jihad unatoka Iran. Ukiondoa Msaada wa Iran wote wataanguka ndani ya wiki mbili. Iran haisaidii tu matendo ya kigaidi bali inashiriki kwenye mashambulizi ya silaha dhidi ya Israel. Na huu ni ushahidi".

Screenshot_20210521-182751_1.jpg

Nanukuu
PM Netanyahu: "The support for Hamas and Islamic Jihad comes from Iran. If you take away Iranian support, both of them would collapse in 2 weeks. Iran not only supports these various terrorist proxies, it actually engages itself in armed attacks against Israel. And here's proof".

Screenshot_20210521-172538.jpg
 
Usichojua ni kwamba USA anamtafuta Iran kwa udi & uvumba ili amtifue kama shamba la viazi vitamu. All Israel thing vs Palestine ni just scapegoat. Unaelewa sasa!???
 
Usichojua ni kwamba USA anamtafuta Iran kwa udi & uvumba ili amtifue kama shamba la viazi vitamu. All Israel thing vs Palestine ni just scapegoat. Unaelewa sasa!???
Iran si alilipua kambi za USA kule Iraq au shasahau.
Yuchizi waliomtoa madarakani akasimama na kudanganya Hakuna kifo cha mwanajeshi yeyote alie uwawa bali walijeruhiwa tu,baadae kutangaza wenyewe vifo vya wanajeshi wao
 
Moja kati ya sabab zinazoifanya us awe mpole kwa Iran ni gharama za kudhamin hiyo vita kulingana na hali ya kiuchum kwa sasa inakua ngumu kuanzisha vita ambavyo vina dalil zote za kuwa vya muda mrefu lkn sabab za kuingia vitan zipo tens nyingi tu.
 
Mlisema ivyo ivyo kwa Palestin kwamba Israel sio chochote anawashindwa Palestin. Sasa mnakuja kwa Irani, na yeye yakimkuta mnakuja kuomba dunia isimame kwa sababu yake
We waache,tupo hapa!
Tutarudi Ku comment
 
Very smart prime minister...tupe rahaa hawa wahuni wapigike ,piga pia piga...mbele kwambele
 
Mlisema ivyo ivyo kwa Palestin kwamba Israel sio chochote anawashindwa Palestin. Sasa mnakuja kwa Irani, na yeye yakimkuta mnakuja kuomba dunia isimame kwa sababu yake
Usijitoe ufahamu kwamba Palestina inalingana nguvu na Wayahudi? Mwambie Marekani aanzishe vita na Irani basi uone cha moto na hawezi kwa sababu anajua atakaekuwa wa kwanza kuumia ni Israel
 
Back
Top Bottom