Daraja2
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 285
- 346
Inawezekana kauli hii ilipenyezwa kwa walengwa bila wao "kung'amua"
Faida iliyopatikana mpaka Sasa ni 100% kwani imewasambaratisha vipande vipande kupitia mtu wao (Urusi ilisambaratika vipande vipande kupitia Mikhail Goberchov mwaka 1990).
Hasara; wale wanaokatwa vichwa kwa Sasa wanashindwa waelekee wapi kwani huko hakueleweki hata kwa wale wasiounga mkono kauli / falsafa hiyo.
USHAURI ;
Kubali matokeo,ulichokishika mkononi kishikilie vilivyo na usikitapakanye tena,rudi kijijini kaweke uwekezaji kwenye kilimo cha nyanya ukae mbali na vyombo vya habari visije vikakuchanganya zaidi tena Zima na sm kabisa/fungua laini mpya.
Mpandikize mtu wa kukupa taarifa zinazojiri huku mjini kwa ufupi kupitia hiyo namba ngeni 😂😁🤣 !!!
Ahsanteni kwa kunisikiliza.