Gharama ya kuungiwa umeme kwa wakazi wa vijijini ni shilingi elfu 27 tu (27,000). Lakini kwa wakazi wanaoishi mjini gharama yake ni Laki tatu na arobaini na moja elfu (341,000)- Mh. Jones Olutu, Mkurugenzi wa Umeme Vijijini.
Samia alikwisha kutuambia kuwa hakuna umeme wa alfu 27 hapa Tanzania, sasa Olutu mbona unaongea tofauti na Mteule? Ila Tanzania kila kitu ni drama tu!