Kauli ya people power IPO kisiasa. Hakunaga nguvu ya umma mbele ya wenye silaha hata wawe Mia moja tu

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Hamjambo wote!

1. Ebana eeeh! Lazima tuseme ule ukweli ili utuweke huru. Tukisema tunamung'unya maneno na kujiumauma tutaishi kwenye kiza na shimo miaka na miaka.

2. Tumefundishwa tangu tukiwa wadogo kuwa duniani hakuna kinachoshinda nguvu ya umma.
3. Tulikaririshwa hivyo kuanzia kwenye uraia, civics, General studies n.k.

4. Wapo watu wanaamini hivyo pia. Mimi nilitaka kuwa mmojawapo lakini hesabu zangu zinakataa.

5. Nikasema, acha nifikiri kinyume na akili na hesabu zangu. Kwamba Hakuna nguvu kama Nguvu ya umma.

6. Historia inaonyesha waliokuja kucchukua watumwa afrika walikuwa wachache Sana. Kwamba watu kumi wangeweza kuwaswaga watu elfu moja.

7. Nikakumbuka kuwa People Power ni kanuni za kidemokrasia na wala kwenye uhalisia haina maana yoyote. Haina ukweli wowote. Ukweli upo kwenye Ukubwa we Pua sio wingi wa makamasi. Kumaanisha nini?

8. Nilikuwepo kwenye maandamano. Watu walikuwepo maelfu kwa maelfu. Tulikuwa wengi Sana

9. Lakini gari yenye Askari watatu mpaka watano tuu wenye silaha walitosha kabisa kutufanya tukimbia kama mizimu iliyotoroka kuzimu. Tulikuwa wengi lakini hatukuwa na nguvu yoyote. Hakukuwa na nguvu ya umma mbele ya chuma.

10. Tumeona Iran na maeneo mengine. Iran wamejitokeza watu wengi sana. Lakini walipotokea watu wenye silaha(Askari) people powers haikuonekana. Waliyeyuka kama mshumaa kwenye moto.

11. Sipendi uongo. Sipendi faraja hasa ya uongo. Sipendi ushindi wa kutegemea huruma au uzembe wa opponents.

12. People power kauli ya kitapeli kabisa. Haina ukweli wowote ule. Kauli ya kisiasa ya watu walioamua kujifariji.

13. Ukweli ni kuwa Mwenye silaha na teknolojia ndiye mwenye nguvu. Anaweza kuwa mmoja tuu na kutiishia mamilioni ya watu.

14. Usiseme walikuwa wanaua au wanapiga risasi.

15. Wewe ulitakaje? Mwenye nguvu ni Yule mwenye options nyingi. Mwenye uwezo WA kuamua atumie option ipi ili ashinde. Bila kujali options atakazotumia ni halali au haramu. Dhulma au Haki.

16. Sisemi kuua watu ni halali au Jambo zuri. Ila nazungumzia NGUVU.
Iwe ni NGUVU za GIZA au NGUVU za Nuru.

17. People power haina tofauti na MajiMaji War. Ni Imani isiyo na ukweli. Mwishowe ni kilio, maumivu, na kusaga meno.

18. Nimejifunza kuwa, watu hawana nguvu. Hasa ukisema Watu wengi. Kushabikiwa au kupendwa na watu wengi sio chochote labda kwenye ulimwengu wa Demokrasia na Uhuru.

19. Lakini kwenye ulimwengu wa matokeo ambao haujali kanuni moja. Unaoweza kutumia Demokrasia au Mabavu. Watu sio chochote kile.

20. Chochote ni Teknolojia, silaha, Pesa na roho ngumu isiyojali na isiyosita kufanya maamuzi magumu yasiyotoshana na akili ya kawaida.

21. Kama Jeshi, na wenye pesa hawatakuwa upande wa maandamano au kutetea HAKI, sioni namna People power ikifanya KAZI.

22. Sikatishi watu tamaa. Nazungumzia uhalisia.

. Bado Najifunza.

TaikonMASTER
Kwa sasa Golden Tulip, Masaki. Dar es salaam
 
Una kauli ngumu sana mkuu haifai kuwa daktari 😆
 
Bado haindoi ukweli kuwa nguvu ya umma inatisha , utatumia vipi hizo silaha za moto kama nguvu ya umma haitishi?

Hapana mkuu tusiongee kujifariji. Nguvu ya umma wenye silaha ndio inatisha lakini tofauti na hapo sio kweli.

Hata jeshi lisilo na silaha ni wachumba tuu. Haya nimejionea wala sijahadithiwa.

Kundi la watu kumi lenye silaha na teknolojia linaweza kuidhibiti dunia nzima yenye watu bilioni nane. Iko hivyo
 
Watu kama nyie kinachowaumiza ni kupenda sifa. Ukipenda sifa sana hata akili unapoteza. Wakati mgumu kama huu kwa Watanzania ilikua siyo kukatishana tamaa, kwenye mapambano kama haya unakuwa upande wa Oppressor au Oppressed, huwe kuwa pande zote. Kuna siisi waoga kama wewe lakini hatukatishi tamaa mashujaa kama Lissu,

Watafute wale wazee wanaotaka Masters au PhD fake uwe unawaandikia dissertetion au thesis za kiswahili fasihi pale mlimani, utapata fedha nyingi sana. Nitakutambulisha wa maSupervisor pale.
 
Wewe Kum.a soma hapa

Hapa kuna mifano 20 kwa ufupi sana ya nguvu za umma kushinda viongozi/mifumo kandamizi:
Tunisia (2011) – Ben Ali alikimbia
Misri (2011) – Mubarak alijiuzulu
Ufilipino (1986) – Marcos aliondolewa
Afrika Kusini (1994) – Apartheid ilianguka
Burkina Faso (2014) – Compaoré alikimbia
Ujerumani Mashariki (1989) – Ukuta wa Berlin ulianguka
Ukraine (2004) – Orange Revolution
Ukraine (2014) – Yanukovych alikimbia
Serbia (2000) – Milosevic aliondolewa
Chile (1988) – Pinochet alishindwa kura ya maoni
Ghana (1992) – Mwisho wa utawala wa kijeshi
Indonesia (1998) – Suharto alijiuzulu
Nepal (2006) – Mfalme alipokonywa mamlaka
Sudan (2019) – Omar al-Bashir aliangushwa
Algeria (2019) – Bouteflika alijiuzulu
Ethiopia (2018) – Shinikizo la umma, mabadiliko ya uongozi
Armenia (2018) – Velvet Revolution
Czechoslovakia (1989) – Velvet Revolution
Bolivia (2003) – Rais Sánchez de Lozada aliondoka
Georgia (2003) – Rose Revolution
 
Taikon MASTER kwasasa upo Dar ulishaludi kutoka Morogoro..Peoples Power usiifananishe na Maji maji war..Maji maji war lilikuwa kundi kubwa la watu lilichoka na udhalimu wakati wanaojiita Nguv ya umma ni kajikundi kadogo kanakopambania madaraka...Haka kakikundi kanakojiita nguvu ya umma kwanza hakana fedha za kutosha za kupambana hakana wafuasi wa kutosha wa kupambana..Pia Hakana akili ya kujenga nguvu ya umma sasa unadhani katayaweza mapambano hali yakuwa nako kanategemea misaada kutoka kwa mpinzani wake?Peoples Power ni kivuli au kichaka cha upigaji na uchu wa madaraka.
 
Unaamanisha serikali zote zilizoangushwa na maandamano hazikuwa na wanajeshi au risasi za kutosha?

Kasome historia vizuri.

Kinacholinda serikali ni uoga wa wananchi na utayari wa vyombo vya dola kutekeleza ukatili.
Wananchi wakiamua bora kufa kuliko kuendelea kuishi katika hayo mazingira, hakuna serikali inaweza kuwashinda.
 
Hamjambo wote!

1. Ebana eeeh! Lazima tuseme ule ukweli ili utuweke huru. Tukisema tunamung'unya maneno na kujiumauma tutaishi kwenye kiza na shimo miaka na miaka.

2. Tumefundishwa tangu tukiwa wadogo kuwa duniani hakuna kinachoshinda nguvu ya umma.
3. Tulikaririshwa hivyo kuanzia kwenye uraia, civics, General studies n.k.

4. Wapo watu wanaamini hivyo pia. Mimi nilitaka kuwa mmojawapo lakini hesabu zangu zinakataa.

5. Nikasema, acha nifikiri kinyume na akili na hesabu zangu. Kwamba Hakuna nguvu kama Nguvu ya umma.

6. Historia inaonyesha waliokuja kucchukua watumwa afrika walikuwa wachache Sana. Kwamba watu kumi wangeweza kuwaswaga watu elfu moja.

7. Nikakumbuka kuwa People Power ni kanuni za kidemokrasia na wala kwenye uhalisia haina maana yoyote. Haina ukweli wowote. Ukweli upo kwenye Ukubwa we Pua sio wingi wa makamasi. Kumaanisha nini?

8. Nilikuwepo kwenye maandamano. Watu walikuwepo maelfu kwa maelfu. Tulikuwa wengi Sana

9. Lakini gari yenye Askari watatu mpaka watano tuu wenye silaha walitosha kabisa kutufanya tukimbia kama mizimu iliyotoroka kuzimu. Tulikuwa wengi lakini hatukuwa na nguvu yoyote. Hakukuwa na nguvu ya umma mbele ya chuma.

10. Tumeona Iran na maeneo mengine. Iran wamejitokeza watu wengi sana. Lakini walipotokea watu wenye silaha(Askari) people powers haikuonekana. Waliyeyuka kama mshumaa kwenye moto.

11. Sipendi uongo. Sipendi faraja hasa ya uongo. Sipendi ushindi wa kutegemea huruma au uzembe wa opponents.

12. People power kauli ya kitapeli kabisa. Haina ukweli wowote ule. Kauli ya kisiasa ya watu walioamua kujifariji.

13. Ukweli ni kuwa Mwenye silaha na teknolojia ndiye mwenye nguvu. Anaweza kuwa mmoja tuu na kutiishia mamilioni ya watu.

14. Usiseme walikuwa wanaua au wanapiga risasi.

15. Wewe ulitakaje? Mwenye nguvu ni Yule mwenye options nyingi. Mwenye uwezo WA kuamua atumie option ipi ili ashinde. Bila kujali options atakazotumia ni halali au haramu. Dhulma au Haki.

16. Sisemi kuua watu ni halali au Jambo zuri. Ila nazungumzia NGUVU.
Iwe ni NGUVU za GIZA au NGUVU za Nuru.

17. People power haina tofauti na MajiMaji War. Ni Imani isiyo na ukweli. Mwishowe ni kilio, maumivu, na kusaga meno.

18. Nimejifunza kuwa, watu hawana nguvu. Hasa ukisema Watu wengi. Kushabikiwa au kupendwa na watu wengi sio chochote labda kwenye ulimwengu wa Demokrasia na Uhuru.

19. Lakini kwenye ulimwengu wa matokeo ambao haujali kanuni moja. Unaoweza kutumia Demokrasia au Mabavu. Watu sio chochote kile.

20. Chochote ni Teknolojia, silaha, Pesa na roho ngumu isiyojali na isiyosita kufanya maamuzi magumu yasiyotoshana na akili ya kawaida.

21. Kama Jeshi, na wenye pesa hawatakuwa upande wa maandamano au kutetea HAKI, sioni namna People power ikifanya KAZI.

22. Sikatishi watu tamaa. Nazungumzia uhalisia.

. Bado Najifunza.

TaikonMASTER
Kwa sasa Golden Tulip, Masaki. Dar es salaam
Kwani wenye silaha awawezi kuwa sehemu ya umma 🙄 labda wewe haujui nguvu ya umma ni nini ?
 
Wewe Kum.a soma hapa

Hapa kuna mifano 20 kwa ufupi sana ya nguvu za umma kushinda viongozi/mifumo kandamizi:
Tunisia (2011) – Ben Ali alikimbia
Misri (2011) – Mubarak alijiuzulu
Ufilipino (1986) – Marcos aliondolewa
Afrika Kusini (1994) – Apartheid ilianguka
Burkina Faso (2014) – Compaoré alikimbia
Ujerumani Mashariki (1989) – Ukuta wa Berlin ulianguka
Ukraine (2004) – Orange Revolution
Ukraine (2014) – Yanukovych alikimbia
Serbia (2000) – Milosevic aliondolewa
Chile (1988) – Pinochet alishindwa kura ya maoni
Ghana (1992) – Mwisho wa utawala wa kijeshi
Indonesia (1998) – Suharto alijiuzulu
Nepal (2006) – Mfalme alipokonywa mamlaka
Sudan (2019) – Omar al-Bashir aliangushwa
Algeria (2019) – Bouteflika alijiuzulu
Ethiopia (2018) – Shinikizo la umma, mabadiliko ya uongozi
Armenia (2018) – Velvet Revolution
Czechoslovakia (1989) – Velvet Revolution
Bolivia (2003) – Rais Sánchez de Lozada aliondoka
Georgia (2003) – Rose Revolution
Unafananisha hizi nchi za kipuuzi na Tanzania ???!! Nchi gani hapo ilifanya show kama ya 29/10/2025?????? Tanzania ni noma kwenye kudhibiti vitendo vya kigaidi
 
Hapana mkuu tusiongee kujifariji. Nguvu ya umma wenye silaha ndio inatisha lakini tofauti na hapo sio kweli.

Hata jeshi lisilo na silaha ni wachumba tuu. Haya nimejionea wala sijahadithiwa.

Kundi la watu kumi lenye silaha na teknolojia linaweza kuidhibiti dunia nzima yenye watu bilioni nane. Iko hivyo
Nguvu ya umma sio kuzuiwa kuuwawa, bali ni ujumbe wa weng kuwa wanataka ama hawataki nini. Na kwa njia yoyote lazima watasikilizwa nini wanataaka hata kama watakuwa wameuwawa wengi. Naona unafananisha nguvu ya umma na bullet proof. Ww ni sawa na wale wanaosema kondomu haisaidii kwasababu kuna baadhi wamepata ukimwi.
 
Hamjambo wote!

1. Ebana eeeh! Lazima tuseme ule ukweli ili utuweke huru. Tukisema tunamung'unya maneno na kujiumauma tutaishi kwenye kiza na shimo miaka na miaka.

2. Tumefundishwa tangu tukiwa wadogo kuwa duniani hakuna kinachoshinda nguvu ya umma.
3. Tulikaririshwa hivyo kuanzia kwenye uraia, civics, General studies n.k.

4. Wapo watu wanaamini hivyo pia. Mimi nilitaka kuwa mmojawapo lakini hesabu zangu zinakataa.

5. Nikasema, acha nifikiri kinyume na akili na hesabu zangu. Kwamba Hakuna nguvu kama Nguvu ya umma.

6. Historia inaonyesha waliokuja kucchukua watumwa afrika walikuwa wachache Sana. Kwamba watu kumi wangeweza kuwaswaga watu elfu moja.

7. Nikakumbuka kuwa People Power ni kanuni za kidemokrasia na wala kwenye uhalisia haina maana yoyote. Haina ukweli wowote. Ukweli upo kwenye Ukubwa we Pua sio wingi wa makamasi. Kumaanisha nini?

8. Nilikuwepo kwenye maandamano. Watu walikuwepo maelfu kwa maelfu. Tulikuwa wengi Sana

9. Lakini gari yenye Askari watatu mpaka watano tuu wenye silaha walitosha kabisa kutufanya tukimbia kama mizimu iliyotoroka kuzimu. Tulikuwa wengi lakini hatukuwa na nguvu yoyote. Hakukuwa na nguvu ya umma mbele ya chuma.

10. Tumeona Iran na maeneo mengine. Iran wamejitokeza watu wengi sana. Lakini walipotokea watu wenye silaha(Askari) people powers haikuonekana. Waliyeyuka kama mshumaa kwenye moto.

11. Sipendi uongo. Sipendi faraja hasa ya uongo. Sipendi ushindi wa kutegemea huruma au uzembe wa opponents.

12. People power kauli ya kitapeli kabisa. Haina ukweli wowote ule. Kauli ya kisiasa ya watu walioamua kujifariji.

13. Ukweli ni kuwa Mwenye silaha na teknolojia ndiye mwenye nguvu. Anaweza kuwa mmoja tuu na kutiishia mamilioni ya watu.

14. Usiseme walikuwa wanaua au wanapiga risasi.

15. Wewe ulitakaje? Mwenye nguvu ni Yule mwenye options nyingi. Mwenye uwezo WA kuamua atumie option ipi ili ashinde. Bila kujali options atakazotumia ni halali au haramu. Dhulma au Haki.

16. Sisemi kuua watu ni halali au Jambo zuri. Ila nazungumzia NGUVU.
Iwe ni NGUVU za GIZA au NGUVU za Nuru.

17. People power haina tofauti na MajiMaji War. Ni Imani isiyo na ukweli. Mwishowe ni kilio, maumivu, na kusaga meno.

18. Nimejifunza kuwa, watu hawana nguvu. Hasa ukisema Watu wengi. Kushabikiwa au kupendwa na watu wengi sio chochote labda kwenye ulimwengu wa Demokrasia na Uhuru.

19. Lakini kwenye ulimwengu wa matokeo ambao haujali kanuni moja. Unaoweza kutumia Demokrasia au Mabavu. Watu sio chochote kile.

20. Chochote ni Teknolojia, silaha, Pesa na roho ngumu isiyojali na isiyosita kufanya maamuzi magumu yasiyotoshana na akili ya kawaida.

21. Kama Jeshi, na wenye pesa hawatakuwa upande wa maandamano au kutetea HAKI, sioni namna People power ikifanya KAZI.

22. Sikatishi watu tamaa. Nazungumzia uhalisia.

. Bado Najifunza.

TaikonMASTER
Kwa sasa Golden Tulip, Masaki. Dar es salaam
Siku hizi umekuwa mwehu.
 
Watu kama nyie kinachowaumiza ni kupenda sifa. Ukipenda sifa sana hata akili unapoteza. Wakati mgumu kama huu kwa Watanzania ilikua siyo kukatishana tamaa, kwenye mapambano kama haya unakuwa upande wa Oppressor au Oppressed, huwe kuwa pande zote. Kuna siisi waoga kama wewe lakini hatukatishi tamaa mashujaa kama Lissu,

Watafute wale wazee wanaotaka Masters au PhD fake uwe unawaandikia dissertetion au thesis za kiswahili fasihi pale mlimani, utapata fedha nyingi sana. Nitakutambulisha wa maSupervisor pale.

Mkuu ninachozungumza hapa ni Ukweli. Bila ukweli haki haiwezi kupatikana kwa kujidanganya.

Ulitaka niseme mini mkuu?
Ujumbe wangu upo wazi kabisa unajieleza
 
Unafananisha hizi nchi za kipuuzi na Tanzania ???!! Nchi gani hapo ilifanya show kama ya 29/10/2025?????? Tanzania ni noma kwenye kudhibiti vitendo vya kigaidi
Tanzania Ina uspecial Gani duniani!?
 
Hapana mkuu tusiongee kujifariji. Nguvu ya umma wenye silaha ndio inatisha lakini tofauti na hapo sio kweli.

Hata jeshi lisilo na silaha ni wachumba tuu. Haya nimejionea wala sijahadithiwa.

Kundi la watu kumi lenye silaha na teknolojia linaweza kuidhibiti dunia nzima yenye watu bilioni nane. Iko hivyo
Hao viongozi tele kote ulimwenguni walioondolewa na wananchi wao wakiwa hawana hata kisu wao hawakuwa na jeshi lenye silaha?

Viongozi kibao wameondoka madarakani kwa nguvu ya umma tu huku wao wakiwa na kila aina ya silaha za kisasa.
 
Back
Top Bottom