Kauli ya people power IPO kisiasa. Hakunaga nguvu ya umma mbele ya wenye silaha hata wawe Mia moja tu

Mkuu,

Kwani nani aliyekwambia nguvu ya umma inashindwa kutumia hizo silaha ulizosema ama teknolojia ama pesa?

Usiwe mjinga kujifungia kwenye eneo unalolitaka wewe.

Mifano mingi umepewa hapo juu. Ogopa nguvu ya umma. Waulize polisi wa mbeya, Arusha, Mwanza, Iringa kwenye kutangaza matokeo 2010.
 
Hao peoples, siku shida zao zikizidi Hofu ya Siraha ndo utajua kama wana Power au hawana.
 
Kijana sijui babu (maana sina uhakika na umri wako) una uelewa mdogo sana. Kwa hoja yako nina uhakika huna elimu ya juu, I mean you are not a university graduate. Mtu mwenye elimu hawezi kuwa na discussion ya namna hiyo kwenye concept ya “nguvu ya umma”. Kwa mtu mwenye elimu hata ya form four ukimpa swali la kudiscuss nguvu ya umma ni nini hawezi kutoa narrative ya hivyo uliyoitoa. So to put things in a nutshell wewe ni mtupu sana kichwani ila unalazimisha kuongelea hoja nzito.
 
Mwandishi anataka wasomaji wakubaliane na maoni au uzoefu wake binafsi.

Hoja yake ni propaganda nyeusi.

Na kwa kweli mwandishi ama ana tatizo la ujinga au ameandika kwa lengo la kupotosha.
 
Nguvu ya umma imeonekana maeneo mengi duniani. Siku za karibuni Korea kusini, baghaladesh? Srilanka! Sudan, etc.
 
Ukweli mtupu, wapuuzi wanahisi nyumbu ndio uma, hapana hiyo nguvu ni tofauti na hiyo nguvu ya vibaka wangese
 
Wewe K♡ma ni kilaza promax. Hujui siasa za dunia zilivyo. Kwa mfano hiyo apartheid ya SA haikuondoka kwa nguvu ya umma. Baada ya USSR kuanguka kulitokea mabadiliko mengi sana duniani ikiwemo siasa za vyama vingi kwa kulazimishwa. USA kwa kuitumia CIA iliamua kumaliza apartheid kwa masharti mengi nyuma ya pazia ambayo Mandela alikubaliana nayo hadi wakampa tuzo ya Nobel. Wewe ni mweupe sana kwenye siasa.
 
(nahukumu heading bila kusoma article) kwa Africa ambapo uhai wa mtu hauthaminiki ndio haina nguvu mkuu ila kwa nchi zinazojielewa ina nguvu tena kubwa sana kwasababu hawawezi kutoa uhai wa raia ili kumiliki madaraka.

NB: inasikitisha sana kuwa wewe kila siku hulali unashinda kupiga kabobo humu eti ukiwa Rais mara hivi na vile kumbe huheshimu utu wa umma ukipewa madaraka siutatutengenezea mito ije mjini ili utaumalize kwa maji
 
Huko Iran usifikiri ndio mwisho. Ayatollah bado hana uhakika wa kesho yake kama Samia.

Halafu, exceptions huwa zipo hata katika theory za kisayansi kwani theory hizo huwa hazi-apply kwa vitu vyote vilvyolengwa na theory husika
 
Mara zote, Hatimaye Nguvu ya Umma hushinda.

HAKI isipopatikana bila shari, mwishowe wadai HAKI hulazimika kutumia njia kama ile iliyotumiwa na FRELIMO, ANC, Mu7, Kagame, nk
 
kwa muda gani? Hilo kundi lazima litakuja na mbwai ikibidi kuwa na mtutu, ni suala la muda. Endelea kujifunza mana kwa ulichoongea ni form II subiri miaka kadhaa utapata pHd. Hapo ndipo utakuwa umeelewa nguvu ya umma ipoje (ni slow but sure!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…