Field Marshall 11
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 1,018
- 1,717
Form Four ( IV) Failures ni wagumu kuelewa, hao ni watekaji na wauaji wakubwa. Ni aibu sana kwa nchi yetu kuendeshwa kipolisi.Kanisa Katoliki jimbo kuu la Mwanza limezungumzia taarifa ya kupatikana Padre Nikata iliyotolewa na jeshi la polisi mkoa wa Ruvuma, Msikilize Mhashamu Renatus Nkwande.
Mhashamu Renatus Nkwande amesema kama Padri huyo alitaka kuacha Upadri yeye askofu alipaswa kujua na wala si mwingine amebainisha kuwa askofu wa Jimbo la Songea pia hajua kama padri huyo alitaka kuacha upadri.
"Eti watu wanasema alishaaomba hakusikilizwa mapadri ivi ukitaka kuacha upadri unasikilizwa? si unaondoka zako tunaowangapi ambao wameacha huko wameondoka, walisikilizwa? badala ya kupata maneno yakutia moyo tusikate tamaa tunapewa maneno ya maudhi" Mhashamu Renatus Nkwande.
Pia Soma: