Ina uhusiano gani na mada wewe?Hawa maaskofu na mapadre wanna mademu kibao na tunaishi nao humu mtaani...wajiangalie wao kwanza kabla ya kuwanyooshea vidole wengine
Huyo Mtume Muhammad ndio nani kisa alisema yeye ndio tumuamini ?.Nadhani wewe bado hujakutana na changamoto ya mapenzi!
Lecturer ndio kitu gani?!
Mkuu wa majeshi aweza changanyikiwa kwa ajili ya mapenzi akaua au na kujiita!
Kuna mtu waweza kumuona ana heshima kubwa katika jamii na watu wanamtetemekea lakini akifika mbele ya mwanamke ampendae anakuwa kama mtoto mdogo wa kuamrishwa , simama ,kaa chini, kaoge, kalale nk.
Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم anasema: " اتقوا الدنيا واتقوا النساء iogopeni dunia na waogopeni WANAWAKE ".
Huyo padri kuchanganyikiwa kwa ajili ya mwanamke si ajabu sana kwani ni jambo linaloweza kumtokea mwanamme yeyote, ama ukitaka kubisha kwamba MAPADRI HAWAKIUKI VIAPO VYAO NA KUTEMBEA NA WANAWAKE HUKO MITAANI itakuwa unataka kuleta ubishi ambao hauna maana kwakuwa sisi ndio tunaokutana nao mitaani na hata watoto ambao baba zao ni mapadri tunawajua!.
Nayeye utasikia amejiteka kwa kauli zake hiziKanisa Katoliki jimbo kuu la Mwanza limezungumzia taarifa ya kupatikana Padre Nikata iliyotolewa na jeshi la polisi mkoa wa Ruvuma, Msikilize Mhashamu Renatus Nkwande.
Mhashamu Renatus Nkwande amesema kama Padri huyo alitaka kuacha Upadri yeye askofu alipaswa kujua na wala si mwingine amebainisha kuwa askofu wa Jimbo la Songea pia hajua kama padri huyo alitaka kuacha upadri.
"Eti watu wanasema alishaaomba hakusikilizwa mapadri ivi ukitaka kuacha upadri unasikilizwa? si unaondoka zako tunaowangapi ambao wameacha huko wameondoka, walisikilizwa? badala ya kupata maneno yakutia moyo tusikate tamaa tunapewa maneno ya maudhi" Mhashamu Renatus Nkwande.
Pia Soma:
Wewe ndio demu wake?Padri Nikata alijiteka baada ya kukataliwa na demu aliyemsomesha!
Wao kuwa na mademu inakuathiri nini wewe?Hawa maaskofu na mapadre wanna mademu kibao na tunaishi nao humu mtaani...wajiangalie wao kwanza kabla ya kuwanyooshea vidole wengine
Hayo maswali kwanini usiende kuwauliza polisi waliotoa taarifa husika?!Wewe ndio demu wake?
Na padre alikusomesha chuo gani?
Km sio wewe, huyo dem anaitwa nani na anaishi wapi ili tuujue ukweli?